Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
=====
UPDATES:
=====

MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza [emoji2960]

Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....

Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed [emoji1]

MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.
Tafuta dume la ng'ombe au la mbwa
 
Imagine miezi 5 ndio nakuja kuoona uzi[emoji24][emoji24][emoji24].
 
Unatafuta mme au mimba?
 
Sio kila Mtu anahusudu Ndoa,
Dada zako wakisononeka kwa kukosa Ndoa usijumuishe na Wanawake wote.
Hutaki ndoa ila unataka matunda ya ndoa!wewe unadhani ulijiumba?endeleza misagano siku ukipata kibano ukaitwa akhera ndio utajua kwanini tunapoteza muda kukushauri ili yumkini utubu na kuokoka umtumkie Mungu.
 
=====
UPDATES:
=====

MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza [emoji2960]

Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....

Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed [emoji1]

MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.
Naomba hiyo opportunity sitakuangusha
 
Wacha wee.jpg
 
Hutaki ndoa ila unataka matunda ya ndoa!wewe unadhani ulijiumba?endeleza misagano siku ukipata kibano ukaitwa akhera ndio utajua kwanini tunapoteza muda kukushauri ili yumkini utubu na kuokoka umtumkie Mungu.
Sasa mimi kwenda Akhera wewe inakuuma nini? Si ndio maana kuna Pepo na Moto? Wote tukienda peponi na huko motoni atakaa nani?
Unaweka makasiriko kwa Mtu msiyejuana [emoji3]
 
=====
UPDATES:
=====

MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza [emoji2960]

Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....

Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed [emoji1]

MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.
Mi nitakudunga hiyo mimba bila wewe kunilipa ila ningependa kuona mwanangu anafananaje, kama ni mzuri kama mimi mwenyewe nakunyan'ganya nimlee mwenyewe, sawa?
 
Sasa mimi kwenda Akhera wewe inakuuma nini? Si ndio maana kuna huko Pepo na Moto? Wote tukienda peponi na huko motoni atakaa nani?
Unaweka makasiriko kwa Mtu msiyejuana [emoji3]
Upo kwenye comfort zone ni muda wako wa kujibu lolote.
 
=====
UPDATES:
=====

MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza [emoji2960]

Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....

Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed [emoji1]

MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.
Mh, hivi kuna mwanaume wa hivi, inamaana gani sasa kuzaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom