financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Kwani saloon zote hizo ukashindwa kunyoa mkuu chupa?😂Mariposa ulinikataa Mimi kisa ndevu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani saloon zote hizo ukashindwa kunyoa mkuu chupa?😂Mariposa ulinikataa Mimi kisa ndevu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafuta dume la ng'ombe au la mbwa=====
UPDATES:
=====
MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza [emoji2960]
Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....
Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed [emoji1]
MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.
Sio kila Mtu anahusudu Ndoa,Hahaha furaha imepitiliza utadhani kapata mme wa kumuoa kumbe kumwaga mbengu tu
=====
UPDATES:
=====
MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza [emoji2960]
Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....
Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed [emoji1]
MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.
Hutaki ndoa ila unataka matunda ya ndoa!wewe unadhani ulijiumba?endeleza misagano siku ukipata kibano ukaitwa akhera ndio utajua kwanini tunapoteza muda kukushauri ili yumkini utubu na kuokoka umtumkie Mungu.Sio kila Mtu anahusudu Ndoa,
Dada zako wakisononeka kwa kukosa Ndoa usijumuishe na Wanawake wote.
Naomba hiyo opportunity sitakuangusha=====
UPDATES:
=====
MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza [emoji2960]
Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....
Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed [emoji1]
MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.
[emoji23]Ha ha ha ....
Mwenye link ya ule Uzi wa
"Naomba tuzae, ntalea mwenyewe" aulete
Huu Ni mtego,jichanganye Sasa [emoji28]
Sasa mimi kwenda Akhera wewe inakuuma nini? Si ndio maana kuna Pepo na Moto? Wote tukienda peponi na huko motoni atakaa nani?Hutaki ndoa ila unataka matunda ya ndoa!wewe unadhani ulijiumba?endeleza misagano siku ukipata kibano ukaitwa akhera ndio utajua kwanini tunapoteza muda kukushauri ili yumkini utubu na kuokoka umtumkie Mungu.
Mi nitakudunga hiyo mimba bila wewe kunilipa ila ningependa kuona mwanangu anafananaje, kama ni mzuri kama mimi mwenyewe nakunyan'ganya nimlee mwenyewe, sawa?=====
UPDATES:
=====
MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza [emoji2960]
Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....
Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed [emoji1]
MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.
Mrejesho hujausoma?Mi nitakudunga hiyo mimba bila wewe kunilipa ila ningependa kuona mwanangu anafananaje, kama ni mzuri kama mimi mwenyewe nakunyan'ganya nimlee mwenyewe, sawa?
Sawa, we mpende tu huyo mtu ila mimi niko tayari kukukunja nikupe mtoto mzuri.Mrejesho hujausoma?
NIMESHAPATA MTU WA KUENDANA NAE.
Upo kwenye comfort zone ni muda wako wa kujibu lolote.Sasa mimi kwenda Akhera wewe inakuuma nini? Si ndio maana kuna huko Pepo na Moto? Wote tukienda peponi na huko motoni atakaa nani?
Unaweka makasiriko kwa Mtu msiyejuana [emoji3]
Mh, hivi kuna mwanaume wa hivi, inamaana gani sasa kuzaa=====