Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kuwa lesbo tu ni ukichaa wenyewe huo.Nikapime hospitali kisa kumridhisha lesbo? Halafu mtoto nisimuone. Hivi kumbe haya ma LGBT hayanaga akili timamu. Kwendra huko....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa lesbo tu ni ukichaa wenyewe huo.Nikapime hospitali kisa kumridhisha lesbo? Halafu mtoto nisimuone. Hivi kumbe haya ma LGBT hayanaga akili timamu. Kwendra huko....
😬😬😬😬 Naomba helaKwamba hauna akili timamu au🤣🤣🤣
Wewe ni Lesbian usizae utamharibu mtoto bureImenibidi nicheke hapo kwenye kuongea kwa misimamo ile ile ya kilesbian
Umekosa utimamuWewe ni Lesbian usizae utamharibu mtoto bure
Ngoja dude likuingie utatulia mwenyewe jamaa anakuvizia kwa mbele hutachomoka tena ulete mrejesho apaUmekosa utimamu
Chukua😀😬😬😬😬 Naomba hela
Wivuuuuuuuuu[emoji1787]Huyo daktari ni kichaa
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu atakubali kumzalisha mwanamke mtoto then mtoto abaki kuwa wa mwanamke. Iwe kwa malipo ya pesa, uchi , gari au nyumba
Jali maisha yako ya walimwengu hutoyawezaNgoja dude likuingie utatulia mwenyewe jamaa anakuvizia kwa mbele hutachomoka tena ulete mrejesho apa
Ila mchunguze nayeye anaweza kua shogaflesh kwa sifa ulizo toa nimewaza tu.
Zipo wapi basi 😀😀😀Chukua😀
Sasa unatafuta mtoto ili iwaje?! Unataka mtoto aje kuwa depressed na kujutia kuzaliwa na kuja duniani sababu mtu selfish uliamua kumleta kwa sababu zako.Tukubaliane na mabadiliko ya ulimwengu,
Zamani tulijua mtoto anapatikana ikiwa Me na Ke wanakutana kimwili siku hizi sivyo mnaenda maabara unatolewa mazaga yenu mtoto anatotoleshwa kwenye chupa, (IVF)
Zamani tulijua mama mpaka abebe mimba azae, siku hizi sivyo tena, mama anaweza akatoa mazaga yake akamkabidhi mama mwingine ambebee mimba hadi kuzaa na yeye anabaki fresh (surrogate)
Zamani watu walikua wana haha na uzazi wa mpango kwa kua mama hayupo tayari kuzaa au aliowazaa wanatosha au anahitaji kupumzika na sasa mama anaweza kutoa mayai yake yakatunzwa maabara hadi siku atakayohitaji kuzaa atawekewa (Egg Freezing)
Sasa unatafuta mtoto ili iwaje?! Unataka mtoto aje kuwa depressed na kujutia kuzaliwa na kuja duniani sababu mtu selfish uliamua kumleta kwa sababu zako.
Ila wewe Zamda una tatizo la Afya ya akili, jitafakari na uchukue hatua mara moja.Sasa unatafuta mtoto ili iwaje?! Unataka mtoto aje kuwa depressed na kujutia kuzaliwa na kuja duniani sababu mtu selfish uliamua kumleta kwa sababu zako.
Mambo gani yanayopenya kidogo kidogo?Halafu kashajinadi kuwa yeye ni LGBT ,ni upinde ila bado kapewa promo na uzi umepandishwa kesho litakuja shoga na hoja yake kama mfanano na hii…..haya mambo tukiyachukulia poa poa yanapenya kidogo kidogo nchini.
Ishi maisha uliyoamua kuishi.Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,
Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,
Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,
Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,
SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu
2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)
3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana
4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha
5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu
6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano
7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya
SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu
2. Lesbian
3. Ready kua Mama
4. Umri miaka 28
NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.
Mawasiliano yawe PM.
Natanguliza Shukrani.
=====
UPDATES:
=====
MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza [emoji2960]
Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....
Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed [emoji1]
MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.
Njoo uchukueZipo wapi basi 😀😀😀
au unanijaribu ?
Mambo gani yanayopenya kidogo kidogo?
Sio nyie hua mna refer kutoka vitabu vya dini?
Kama yalikuwepo tangu enzi hizo na yakazungumziwa iweje ushangae sasa hivi.