Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Dini gani na imetaja nini? Sina ufaham nazo.
Sio hoja ya kidini wala hizo human rights mnazojitetea nazo, nazingatia nature ya viumbe hai. Anyway kuweni na amani endeleeni na mambo yenu.
Unajua maana ya nature na nature ya viumbe hai lakini au unaunga unga vimaneno ili mradi tu na wewe uandike
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,

Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,

Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,

Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,

SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu

2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)

3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana

4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha

5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu

6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano

7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya

SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu

2. Lesbian

3. Ready kua Mama

4. Umri miaka 28

NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.

Mawasiliano yawe PM.

Natanguliza Shukrani.

=====
UPDATES:
=====

MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza [emoji2960]

Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....

Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed [emoji1]

MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.
Hahaa eti hana mandevu ndevu hanuki mdomo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wabiga nyeto hii fursa kwenu... kuliko kutupa mbegu kwenye mashuka, boxer na bafuni nendeni mkajaribu bahati ya utelezi buree...
 
Umesema wewe ni lesbian au basi tu.
Ukoo wetu hauna mwanasheria
 
Kuna mtu anatakiwa kuuziwa mbuzi kwenye gunia [emoji85] lkn huko mbele huko kuna shida naiyona. hzo missions zpo Sana Ila shida inakuja damu ni nzito kuliko Maji. Ana dai ameshapata huyo mtu na anasifa zote lkn anaogopa jamaa acje akapenda mazima! Swali linakuja kwa huyo mtt atakuwa mali ya nan kama jamaa hatausika na gharama za malezi, na mama mtt hatak jamaa ampende? "Nina wasi waasi, Nina wasi waasi ukicheka yakuchekea hayo mapenzi ya kioo [emoji397]
 
Mambo Ni Moto Moto Kama Ulaya Yaani
Uendelee Kuleta Mrejesho Hivyo Hivyo Ikiingia, Ikitoka
TUMETOKA KULE WANASEMA "Hapa Kazi Tu "
TUPO HAPA SASA HIVI "Kazi Iendelee "
 
Kuna mtu anatakiwa kuuziwa mbuzi kwenye gunia [emoji85] lkn huko mbele huko kuna shida naiyona. hzo missions zpo Sana Ila shida inakuja damu ni nzito kuliko Maji. Ana dai ameshapata huyo mtu na anasifa zote lkn anaogopa jamaa acje akapenda mazima! Swali linakuja kwa huyo mtt atakuwa mali ya nan kama jamaa hatausika na gharama za malezi, na mama mtt hatak jamaa ampende? "Nina wasi waasi, Nina wasi waasi ukicheka yakuchekea hayo mapenzi ya kioo [emoji397]
Atapigwa Atachakaa Kipigo Ni Cha Mbwa Ko Ko
 
=====
UPDATES:
=====

MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza [emoji2960]

Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....

Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed [emoji1]

MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.
hongera
 
Yani kwa masharti hayo nikajua kuna donge nono[emoji39]what is in for my sperms, huyo ni sperm donor bibie unatakiwa umlipe.

Yan umeandika kwa kujiamini sana kumbe unataka huduma for free[emoji1787][emoji1787]

Either way anaeweza kugawa sperm zake under that circumstance ni kichaa tu na ww umesema awe na akil timamu.
Hahaha furaha imepitiliza utadhani kapata mme wa kumuoa kumbe kumwaga mbengu tu
 
=====
UPDATES:
=====

MREJESHO:
Shukrani wadau mtu nimempata ila katoka nje ya JF kuna mtu nafanya nae kazi, aliniconnect na ndugu yake, tulipatana tangu december ila tukasubiri vurugu za mwisho wa mwaka zipite ndio tuanze zoezi letu la vipimo na sio muda zoezi lenyewe litaanza [emoji2960]

Huyu Kaka ana Akili timamu, ni daktari wa kina mama katika hospital fulani, hajaoa wala hana mchumba, tumeenda dates mbali mbali kwanza ananukia vizuri, hana mandevu, hanuki mdomo, ni bonge la gentleman, ametulia ila sio mpole kwa hiyo hatukosi story kila tukichat na tukipigiana simu, kuna chemistry ndani yetu which is good kwa tunachotaka kukifanya....

Amenikubali vile nilivyo, hana swaga za "nataka kukubadilisha", ananiheshimu sana, hofu yangu asije aka fall in love tu maana ana speed [emoji1]

MNAO TEXT NA KUCALL ACHENI MARA MOJA, KAZI IMESHAISHA TUSUBIRI MAJIBU TU.

IMG_8496.jpg
 
Wenye madevu tunanyanyasika🤣🤣🤣🤣🤣😂 Sasa mariposa mwanaume aliyekamilika atakosa ndevu🤣🤣🤣
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom