Nahitaji mwanaume wa kuzaa nae

Status
Not open for further replies.
Otikiii 😬 Ehh Leo ndo Leo kivumbi Leo
 
Karibu pm
 
Je huna kipato kutokana na tatizo la afya yako?
 
Karibu pm
 
Yamekua haya? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe itakuwa unaongelea vijana ambao ni jobless wa kizazi hiki ila hao pia sio wengi. Wanaume ambacho hawataki ni fling kuleta mtoto. Kama unataka mahusiano ya kuleta mtoto niweke wazi kabisa maana hatuwezi kuzaa zaa na kila mtu.
Unavuna unachokipanda.
Unat*mba mwanamke na kummwagia manii unategemea azae papai!?
Hekima ni kuwajibika kwa matendo ya mikono yako mwenyewe.
Kama hautaki tuliza kiborodinda hicho.
 
Sibagui wala sichagui mkuu..
Ng'ombe hazeeki maini mkuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu hawa watoto ndo wanaotufaa katika umri huu
πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈAiseee babu hufai wewe utaja fia kifuani kwa mbichi.
 
πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈAiseee babu hufai wewe utaja fia kifuani kwa mbichi.
Hapa nimechukua na pipi kifua kwa ajili ya haka katoto ka 2000
 
Sijui kwa nini nahisi unahitaji kumuona msaikolojia. Mkuu mtoto ni zao la upendo na si vinginevyo.

Eneweiz M/Mungu akufanyie wepesi katika hili uweze kupita na kushinda katika namna iliyo bora zaidi.
 
LENGO lako ni lipi kuuliza hivi?
Sina nia mbaya na wala sijauliza kwa ubaya.
Kwa maelezo yako na kwa nilivyoyaelewa ni kwamba hilo tatizo lako la nerve ndio limekukata kihisia ya mahusiano.
Hivyo nikaona ni busara nijue kama utaridhia huwenda likawa na ufumbuzi.
 
Mimi nadhani hauhitaji mtoto, kuna kitu cha muhimu zaidi unahitaji.
 
Huwezi kumtumia mtoto au kutaka kuzaa sababu ya furaha Yako binafsi. Ni kudharau uumbaji na ubinafsi. Selfish.
 
Mimi Sina kipato, najitafuta na nnachopata ni kidogo.
-Naomba malezi ya mtoto yabase kote kwenye pande zote mbili, muda, kujali,nk
- Hata ukiingia kwenye mahusiano au ndoa haina tatizo usimsahau mwanao.
HAPA umekorogakoroga Mwandiko wa kidakitari Ila kule juu umeeleweka kwa namna fulani

Swali ni je huo ugonjwa wa nerves HAUWEZI ukahamia kwa Mtoto alafu mlengwa akaingia gharama zingine za hospital, kumbuka kulea Mimba Si kazi kazi kulea Mtoto Mtoto akiwa na faults zozote mtu lazima aingie gharama kugharamia Uhai wake ili asife
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…