Nahitaji mwanaume wa kuzaa nae

Status
Not open for further replies.
Mungu akusaidie. Japo kuna watu watakuja kukwambia utume picha
 
Unavuna unachokipanda.
Unat*mba mwanamke na kummwagia manii unategemea azae papai!?
Hekima ni kuwajibika kwa matendo ya mikono yako mwenyewe.
Kama hautaki tuliza kiborodinda hicho.
Kumwaga manii sio lazima matokeo yake yawe mimba wewe dada. Ndo maana FP zipo.
 
Kama upo kanda ya ziwa tuwasiliane.
 
Sister, Abigail Nabal. Huyu mtu unayemtafuta hayupo. Mtu ambaye atakuwa responsible kwako na kwa mtoto lazima awe mtu very serious ambaye atakupenda wewe hata kama una disabilities ngapi otherwise kwa tamaa utaliwa na kuachiwa kila kitu ufanye mwenyewe hapo ndio utaona analysis yako imekuchefua. Fikiria sawa sawa, hii hoja yako. Mungu akutendee mema.
 
Mwenyezi Mungu akupe hitaji la Moyo wako, Pokea kadiri ya Imani yako.
 
Ujaaliwe hitaji la moyo wako
 
Mbona kama kuna kaukweli hivi?
Kwanini umeshindwa kumpata huyu mtu unayemhitaji ktk mazingira yako unayoishi au kufanyia kazi?
Kwanini unataka mtu asiefahamu mazingira yako unayoishi au kufanyia kazi?
Kwanini ni kuzaa tu na sio ndoa?
Kwanini unafikiri mtoto ni faraja kinakusibu nini moyoni?
Unahakika una utimamu wa akili usije ua baba au mtoto kwasababu ya changamoto ambazo hujazizungumzia?
 
Mnavoongeaga mwanzoni kama watu wema vile,mtu akishajiingiza mnaazisha mziki...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…