[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakuja pm, ila huku nilipo maisha yamenichapa kwahiyo tukikubaliana nahamia Rukwa moja kwa moja au unasemaje mamii?
Mambo mrembo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jazia jazia nyama basi. Anyway, nakuombea upate mume mwema.Wapendwa habari zenu.
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33, ni mwajiriwa wa sekta binafsi mkoani Rukwa. Mimi ni mkristo na Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu nikiwa nahitaji mwanaume mwenye hitaji kama langu. Awe mkristo mwenye umri kuanzia miaka 33-49, mwenye kipato halali, awe na utayari wa kuwa na familia awe mkweli.
Ikiwa una uhitaji karibu PM
Whenever happen, make it happenNakuja pm, ila huku nilipo maisha yamenichapa kwahiyo tukikubaliana nahamia Rukwa moja kwa moja au unasemaje mamii?
Poa,usinambie na ww maisha yamekuchapa [emoji1787]Mambo mrembo
Mkubaliane namung ata wasaidiaNakuja pm, ila huku nilipo maisha yamenichapa kwahiyo tukikubaliana nahamia Rukwa moja kwa moja au unasemaje mamii?