Nahitaji Mwanaume

Nahitaji Mwanaume

Jjoana

Member
Joined
May 26, 2022
Posts
12
Reaction score
22
Wapendwa habari zenu.

Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33, ni mwajiriwa wa sekta binafsi mkoani Rukwa. Mimi ni mkristo na Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu nikiwa nahitaji mwanaume mwenye hitaji kama langu. Awe mkristo mwenye umri kuanzia miaka 33-49, mwenye kipato halali, awe na utayari wa kuwa na familia awe mkweli.

Ikiwa una uhitaji karibu PM
 
Jazia jazia nyama basi. Anyway, nakuombea upate mume mwema.
 
Back
Top Bottom