Nahitaji mwekezaji wa kuwekeza milioni 50 katika Hotspot Business, mtaji utarudi ndani ya miezi 6

Hebu ni convince mimi hapa
Nisamehe sijaweza kusoma mpaka mwisho na pia maswali ya wadau nimejaribu kuyasoma machache.

Je umefungua sehemu ngapi mpaka sasa hata kwa mtaji mdogo?
Ila kama bado hujafungua hata moja? Mimi ntaaminije kuwekaeza 50m kwenye biashara mpya? Ambayo ndio itaanza kwa mtaji wangu?
 
Jitahidi tu u some mkuu Kuna kitu utapata na kuelewa zaidi

Ila kiufupi biashara tayari imeshafanyika na Ina muda karibia wa miaka 2 lakini kwa udogo lengo la kutafuta muwekezaji ni kujitanua zaidi na kufika masoko mengi
 
lengo namba moja ni muwekezaje kurudisha mtaji ya pili ni makubaliano kati yake katika kutengeneza faida kati ya 50/50 au 60/40
Kama ishu ni mtaji unaweza kupata hata bank, tafauta mwekezaji anayekupa kitu zaidi ya fedha with exachange ya yeye kuw na share kwenye hiyo biashara.
 
Jitahidi tu u some mkuu Kuna kitu utapata na kuelewa zaidi

Ila kiufupi biashara tayari imeshafanyika na Ina muda karibia wa miaka 2 lakini kwa udogo lengo la kutafuta muwekezaji ni kujitanua zaidi na kufika masoko mengi
Shukran sana boss
 
Kama ishu ni mtaji unaweza kupata hata bank, tafauta mwekezaji anayekupa kitu zaidi ya fedha with exachange ya yeye kuw na share kwenye hiyo biashara.
That's all I want a business partner ambae yeye atakuja na fedha ila ujuzi mahalifa biashara ataikuta ila bank sio rahisi hivo mkuu
 
Hivi hawawezi kukuzunguka kichukua wazo lako na wewe waka kukacha?
 
BInafsi nimekuelewa vzr sana mkuu,ila nilikuwa naomba kuuliza pia...
1:Umesema soko kwa sasa ni pana sana,ni kweli,sasa je hivi karibuni ikitokea yamekuja ma big fish kma Starlink Tanzania,jamaa naskia wanagawa utamu kwa bei rahisi sana,sasa huku kuna mtu kawekeza mil50 mtaani kwa site 20...je unadhani huyu muwekezaji atakuwa salama kuendelea na hii biashara?

2:Huu usamabazaji wa kasi wa routers kutoka kwa makampuni ya simu haiwezi kukuumiza hapo mbele?

3:Mimi binafsi nina damu ya risk taker ila kwa siku hizi nimekua muoga muoga sana maana naona mambo yanaenda kasi mnoo,yan mambo yana change kila baada ya wiki so Nikiwa na kma mil5 siwezi kuanza hii biashara huku naskilizia?

5::Hii biashara ni lazima mtu aisomee japo kidogo au mtu anaweza akapata maarifa ndaji ya kazi?

6:Kwa sisi ambao vimitaji unga unga mwana,mtu akikutafuta kisha akakupatia laki 5 ili umpige training kama ya wiki khs hii biashara kisha huyu mtu akaenda zake kuanzisha kivyake huku akiendelea kuomba msaada wa hapa na pale inawezekana?

Nina maswali mengi ila naomba msaada kunijibu haya kwanza mkuu...nakushkuru tena kwa mwanga huu kiasi uliotupatia
 
1. kuna kitu watu wengi huwa wanachanganya naomba nikueleweshe mkuu Starlink haji kufanya Hotspot business hata kidogo tena akija starlink kwa sisi tunaofanya Hotspot itakuwa neema zaidi kwakuwa tutaweza kuuza hadi vijijini naomba nikueleze hotspot kwa lugha rahisi kabisa najua unafahamu hili neno WINGA huyu ni mfanyabiashara mdogo amabae ananunua au kuchukua biashara kutoka kwa mfanyabiashara mkubwa au wa kati na kuiwasilisha watumiaji sasa nakurudisha huku kwenye mada sasa unamuona AIRTEL,TIGO,VODACOM,STARLINK hawa tunawaita ISP ( Internet Service Providers ) hawa wanatoa huduma ya internet katika Wholesale na retail sale sasa Hotspot nayo ni huduma ya kutoa internet katika levo ya MACHINGA hivo uwepo wa ISPs wengi kwetu ni neema ya kupata internet kwa bei rahisi na sisi kuiuza kwa bei nzuri zaidi kwaio starlink na ISPs wengine sio tishio la hotspot fuatilia hata bei za receiver za STARLINK still bado sio internet nafuu kama wengi mnavyodhani ila kwasisi HOTSPOT enterprenuers tunafurahia uwepo wao

2. haiwezekani hata kidogo kwanza kwetu ni faida zaidi unajua kwanini ni kwasababu router ina limitation na hao wote wanasambaza CPEs router ( CUSTOMER PREMISES EQUIPMENT ) ni kifaa maalumu cha kupokea internet kutoka kwa mtoa huduma wa internet ambao kusudio kubwa ni kuwezesha internet nyumbani au ofisini ila hotspot inaweza kusambaza internet mtaa mzima mfano ni wangapi katika jamii yetu wanaweza kununua router na kuendeleza malipo ya bando la laki kila mwezi ? sio wengi kwaio bado kuna jamii kubwa inayohitaji ila haina uwezo wa kuigharamia ila kupitia Hotspot inakuwa mkombozi wao mfano mimi katika internet ya mtaa nampa mteja mmoja unlimited internet kwa mwezi mzima kwa 20,000 tu

3. HOTSPOT ni kitu ya tofauti na inanafasi kubwa sanaaa Tanzania na advantage kubwa sana ya soko kwakuwa tuna idadi kubwa ya watu na pia ambao wanatumia sana smartphone iwe mjini au vijijini mimi nili take risk kwa kujifunza kupitia watu wa philipino na malesia kwa kulipa tusion fee na bahati nzuri baadhi ya wadau wa kenya mana biashara hii kwa kenya na uganda ni kubwa sanaa na sio ngeni kabisa ila kwa Tanzania haijasambaa kabisa na sehemu kubwa inapatikana Dar pekee nimetembelea mikoa mingi kiukweli hii ni biashara pekee ambayo haina ukanda kwa sasa inaweza kufanyika popote

4. sio lazima usiome itakuchukua muda ku master na kuianza kuifanya mfano mimi nilichua muda ku master sasa nahangaika mitaji ya kuikuza ila wewe unaweza kuwa na mtaji ila ikakuchukua muda kui master hivo ukajikuta uko nje ya matarajio kwakuwa bado huna experiance na ndio mana tunatafuta joint ya mwenye ujuzi na mtaji kwakuwa kwa pamoja tutaokoa muda na rasilimali kwa pamoja

5 Ndio nafanya hivo kuna training fee na monthly fee ambayo kwa kila mwezi baada ya kuanza biashara ni 30,000 tu

Nafikiri nimejibu maswali yako yotee
 
Kaka me nimekulewa vzr na shukran kwa uchambuzi mzuri.
 
Dah mimi mwenyewe na wazo sijui nalianzisha vipi na hamu inaisha
 
Mwekezaji utampata, sema huwa hawakoment hapa...hawana blah blah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…