Nahitaji mwenza wa kufunga naye ndoa

Nahitaji mwenza wa kufunga naye ndoa

Tripp

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2018
Posts
898
Reaction score
1,545
Habari.

Mimi ni kijana wa Kitanzania, umri wangu miaka 33, dini mkristo KKKT, naishi Dar es Salaam, nimejiajiri. Nahitaji mpenzi ambaye lengo letu kuu ni ndoa mwakani tukielewana.

Vigezo vya mke wangu ni umri miaka 25-38, awe tayari kwa maisha ya ndoa, kama ana mtoto asizidi mmoja; ndio uwezo wangu wa kulea.

Karibu tujenge maisha yetu.
 
Habari mimi ni kijana wa kitanzania umri wangu miaka 33 dini mkristo kkkt, naishi dar es salaam nimejiajiri nahitaji mpenzi ambaye lengo letu kuu ni ndoa mwakani tukielewana....vigezo vya mke wangu ni umri miaka 25-38 awe tayari kwa maisha ya ndoa kama ana mtoto asizidi mmoja ndio uwezo wangu wa kulea...karibu tujenge maisha yetu
Hizi ni nyege zinaongea...yaani tangazo uweke saa kumi alfajiri
 
Nimekununiaaaa usinisemeshe [emoji18][emoji18][emoji18][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji3061][emoji3061]
Hata mm unaninunia boss wangu mrembo wa pekee tajir wa jf binti mstaraabu mpenda dini jf nzima hakuna mzur kama ww binti mwenye sauti nzuri kama ya yesu kweli
 
Hata mm unaninunia boss wangu mrembo wa pekee tajir wa jf binti mstaraabu mpenda dini jf nzima hakuna mzur kama ww binti mwenye sauti nzuri kama ya yesu kweli
😟😟😞😞😞😞😞😞😞 Nimenunaaaaaa!! Haiwezekani unitupie walioshindikanaaaa umenichokaaa kiasi hiki 😟😟😞😞🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️ usinisemeshee!!
 
[emoji45][emoji45][emoji20][emoji20][emoji20][emoji20][emoji20][emoji20][emoji20] Nimenunaaaaaa!! Haiwezekani unitupie walioshindikanaaaa umenichokaaa kiasi hiki [emoji45][emoji45][emoji20][emoji20][emoji2214][emoji2214][emoji2214] usinisemeshee!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo anakupenda bana nasikia ana apartment mbezi ndyo mmiliki wa ile sheli ya pale mjini afu mnaendana ujue
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo anakupenda bana nasikia ana apartment mbezi ndyo mmiliki wa ile sheli ya pale mjini afu mnaendana ujue
Huyo Setrakeee!🙌🙌🙌! Namtaka Bossi wangu mimii usintanieeee!!! Nirudishie Bossi wangu tasavali hayo matatizo pelekea walioshindikana hukoo!!
 
Back
Top Bottom