Nahitaji mwenza wa kufunga naye ndoa

Nahitaji mwenza wa kufunga naye ndoa

Embu nitumie picha pm nione ulivyo nuna maana hata ukinuna ww ni mzur tu
Mmxxcieeewww !! 😞😞😟😟😟😟😟😟!! Hebu nitoke online kwanza uwe na siku mbayaaa!!👋👋👋👋🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
 
Sasa ndio muda wa kutunzana na sisi wazee, vijana watakuua hiyo shughuli inahitaji uzoefu🤣🤣🤣🤣, vijana wakitumia vumbi hakuna rangi utaacha ona
Unanipeperushia ndege wangu jamani😂😂😂😂nawamudu
 
Back
Top Bottom