EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Haya endelea maana kuna kitu unatafuta😆😆Unanipeperushia ndege wangu jamani😂😂😂😂nawamudu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya endelea maana kuna kitu unatafuta😆😆Unanipeperushia ndege wangu jamani😂😂😂😂nawamudu
AiseeHabari.
Mimi ni kijana wa Kitanzania, umri wangu miaka 33, dini mkristo KKKT, naishi Dar es Salaam, nimejiajiri. Nahitaji mpenzi ambaye lengo letu kuu ni ndoa mwakani tukielewana.
Vigezo vya mke wangu ni umri miaka 25-38, awe tayari kwa maisha ya ndoa, kama ana mtoto asizidi mmoja; ndio uwezo wangu wa kulea.
Karibu tujenge maisha yetu.
😂😂😂😂😂 khaahHizi ni nyege zinaongea...yaani tangazo uweke saa kumi alfajiri