Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro

Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro

Mie sijaona lakini nimefuatilia tangu mlipoanzia huko juu 🤦‍♀️

Unataka kumpigia ili akupatie mdogo wake umnyooshe leo dada eti?
Kama hamumuelewi na hamnyooshi maelezo kwa The Icebreaker mi nimpe mdogo wangu.
Unajua ukoo mzima hakuna aliyeenda majuu sasa bora tutoe mkosi na tuhaidi kumpa mahaba ya kiswahili ndani ya ulaya.
 
Habari wakuu? Umri unakwenda sana. 39 yrs now. Dada ambae unapatikana hapa morogoro au mkoa wowote lakini una uhitaji wa kuoelewa mwezi ujao, naomba tuwasiliane inbox. Binti mzuri, uwe mkristo. Umri 25-33. Urefu wastani. Hatuna pesa mama ndo tunaanza kutafuta. Karibuni sana wahitaji.
Kwa umri huo wewe sasa ni mhenga. Nakushauri: tafuta mshangazi wa maana uuweke ndani.
 
Back
Top Bottom