Nahitaji mwenza wa kuoa Morogoro

Basi sawa subiri majibu.

Wanaume wengi wa umri wangu nilioongea nao hawajahi kabisa kuzitoa hizo bikra kiasi kwamba wanashangaa hiki kizazi kuweka kigezo cha bikra
Mtego huo,shtuka mapema,
Siku ukigundua kwanini wanakwambia hivyo ndio utanielewa kwanini nasema kua ni mtego.
 

Umri bado sana 39
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…