PrincessGinna
New Member
- May 22, 2024
- 2
- 36
Inaonekana wewe ni mbaguzi Sana, siyo katika suala la ukabila Tu Bali hata masuala mengine, anyway Kwani mzazi mwenzio kafariki?SIFA ZA MWANAUME
- Awe mkoa wowote kasoro Moshi.
Samahani mkuu, mbona kama unachukia wachaga?Awe mkoa wowote kasoro Moshi.
Wanawake mbona hampendani lakini.Miaka 32 lakini bado unachagua muonekano!! Una safari ndefu sanaaa🤸
FafanuaWanawake mbona hampendani lakini.
Kwahiyo mwenzako hana haki ya kujipatia kijana mtanashati,Fafanua
Sawa.Kwahiyo mwenzako hana haki ya kujipatia kijana mtanashati,
kijana nadhifu
Leo umeamua kutoa dozi, si mchezoMiaka 32 lakini bado unachagua muonekano!! Una safari ndefu sanaaa🤸
Sifa ya mwanaume ni Heshima na UwajibikajiLeo umeamua kutoa dozi, si mchezo