Nahitaji Mwenza

Nahitaji Mwenza

Habari ya muda huu Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32, ninahitaji mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano tukielewana tufunge pingu za maisha.
Sifa zangu ni
  • Mweusi
  • Mkristo
  • Ninafanya bihashara
  • Nina watoto 2
  • Naishi dar es salaam.

SIFA ZA MWANAUME.
  • Rangi yoyote
  • Awe mrefu, asiwe na kitambi
  • Kabila lolote
  • Awe na shughuli inayomuingizia kipato
  • Awe na miaka 32 na kuendelea.
  • Awe mkristo
  • Awe na mtoto au asiwe na mtoto sawa.
  • Awe mkoa wowote kasoro Moshi.
ASANTENI mnakaribishwa pm..
kama hujapata tuchekiane PM mama watoto wangu ujae
 
SIFA ZA MWANAUME.
  • Rangi yoyote
  • Awe mrefu, asiwe na kitambi
  • Kabila lolote
  • Awe na shughuli inayomuingizia kipato
  • Awe na miaka 32 na kuendelea.
  • Awe mkristo
  • Awe na mtoto au asiwe na mtoto sawa.
  • Awe mkoa wowote kasoro Moshi
Unazingua...
 
Habari ya muda huu Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32, ninahitaji mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano tukielewana tufunge pingu za maisha.
Sifa zangu ni
  • Mweusi
  • Mkristo
  • Ninafanya bihashara
  • Nina watoto 2
  • Naishi dar es salaam.

SIFA ZA MWANAUME.
  • Rangi yoyote
  • Awe mrefu, asiwe na kitambi
  • Kabila lolote
  • Awe na shughuli inayomuingizia kipato
  • Awe na miaka 32 na kuendelea.
  • Awe mkristo
  • Awe na mtoto au asiwe na mtoto sawa.
  • Awe mkoa wowote kasoro Moshi.
ASANTENI mnakaribishwa pm..
Njoo PM tuyajenge vizuri kama bado hujapata. Kuwa serious usije ukawa man afu unazuga
 
Back
Top Bottom