Nahitaji mwenza

Nahitaji mwenza

Poleni na Shughuli za siku wana JF,

Nimekuja nikiwa na uhitaji wa kupata mwenza Mwanaume. Mwenye uhitaji na mahusiano aliechoka kua mpweke kama mimi.

Awe mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea.
Awe anajishughulisha na shughuli halali.
Mwenye hofu ya Mungu.
Asiwe mtumiaji wa kileo,na mambo yanayofanana na ayo.
Awe Mkristo, Akiwa Mpentecoste(na yakufanana na ayo itakua vizuri).
Ni sawa akiwa na mtoto maana na mimi nina mtoto mmoja.

Mimi ni mwanamke wa miaka 30, Ni mama wa binti mmoja.
Nmeajiliwa(private sector) Ninaishi Dar es salaam.
Ninampenda Mungu, Nimekua mpweke kwa mda mrefu sasa.
Karibu Pm.

Ahsante.
Mungu akusaidie upate wa ndoto yako.
 
Maswali ya msingi ili break code.
Ah hamna ukiona mke bado analeta za baba mtoto huna haja ya kuendelea nae unapiga chini. Huyu matured! Alaf sio tegemez wa uchumi au mawazo! Jiweke humo mkuu

Mm shida age tu, alaf kipato mana jobless hapa mbagala pub nakodisha shisha tu
 
Poleni na Shughuli za siku wana JF,

Nimekuja nikiwa na uhitaji wa kupata mwenza Mwanaume. Mwenye uhitaji na mahusiano aliechoka kua mpweke kama mimi.

Awe mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea.
Awe anajishughulisha na shughuli halali.
Mwenye hofu ya Mungu.
Asiwe mtumiaji wa kileo,na mambo yanayofanana na ayo.
Awe Mkristo, Akiwa Mpentecoste(na yakufanana na ayo itakua vizuri).
Ni sawa akiwa na mtoto maana na mimi nina mtoto mmoja.

Mimi ni mwanamke wa miaka 30, Ni mama wa binti mmoja.
Nmeajiliwa(private sector) Ninaishi Dar es salaam.
Ninampenda Mungu, Nimekua mpweke kwa mda mrefu sasa.
Karibu Pm.

Ahsante.
Hivi wewe ni mgeni hapa jf? Kikao cha wanaume wanaojitambua kilishakaa na kutoa maamuzi na maazimio kuwa: "oa single mother at your own risk" AU akuonyeshe kaburi la baba wa mtoto na cheti cha kifo chake! Maana bila hivyo usije hapa unalialia!
 
Poleni na Shughuli za siku wana JF,

Nimekuja nikiwa na uhitaji wa kupata mwenza Mwanaume. Mwenye uhitaji na mahusiano aliechoka kua mpweke kama mimi.

Awe mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea.
Awe anajishughulisha na shughuli halali.
Mwenye hofu ya Mungu.
Asiwe mtumiaji wa kileo,na mambo yanayofanana na ayo.
Awe Mkristo, Akiwa Mpentecoste(na yakufanana na ayo itakua vizuri).
Ni sawa akiwa na mtoto maana na mimi nina mtoto mmoja.

Mimi ni mwanamke wa miaka 30, Ni mama wa binti mmoja.
Nmeajiliwa(private sector) Ninaishi Dar es salaam.
Ninampenda Mungu, Nimekua mpweke kwa mda mrefu sasa.
Karibu Pm.

Ahsante.
Njoo inbox tusemezane...
 
Back
Top Bottom