Nahitaji mwenza

Nahitaji mwenza

Poleni na Shughuli za siku wana JF,

Nimekuja nikiwa na uhitaji wa kupata mwenza Mwanaume. Mwenye uhitaji na mahusiano aliechoka kua mpweke kama mimi.

Awe mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea.
Awe anajishughulisha na shughuli halali.
Mwenye hofu ya Mungu.
Asiwe mtumiaji wa kileo,na mambo yanayofanana na ayo.
Awe Mkristo, Akiwa Mpentecoste(na yakufanana na ayo itakua vizuri).
Ni sawa akiwa na mtoto maana na mimi nina mtoto mmoja.

Mimi ni mwanamke wa miaka 30, Ni mama wa binti mmoja.
Nmeajiliwa(private sector) Ninaishi Dar es salaam.
Ninampenda Mungu, Nimekua mpweke kwa mda mrefu sasa.
Karibu Pm.

Ahsante.
Nitumie picha Yako, tafadhali
 
Asante mkuu ila mtoto anamuandiko mzuri sana apunguze vigezo nimuibukie hapo piemu kwenye umri wa mwanaume anaemtaka apunguze miaka mi 5 mi nipo tayari
🤣🤣🤣 Sasa hapo si mtalingana umri, muulize kama hana x kwanza asitupotezee mwenzetu
 
Madam me hadi Nipo kwenye data base ya wanao itaji wachumba maana nisha pita interview kadhaa sogea PM..[emoji41]
 
Back
Top Bottom