Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Alhamdulillah, mimi sijambo kabisa sijui weweYaan wew acha tu nitajitahidi niitue mzima lkn
Sijambo piaAlhamdulillah, mimi sijambo kabisa sijui wewe
Hebu nitwike mie we upumzike nayo. Teh teh teh.Yaan wew acha tu nitajitahidi niitue mzima lkn
Hebu mkalishe kitako mdogo wako akueleze yanayomsibu, pengine ni makubwa kama dunia, si ndio mwenyewe asemavyo?Mdogo wangu unaongea na simu ama? ππππππ
Hahahaaa!!! Hana lolote kaamua kunichemsha tu huyo.Hebu mkalishe kitako mdogo wako akueleze yanayomsibu, pengine ni makubwa kama dunia, si ndio mwenyewe asemavyo?
Maasha Allah.Usiwe m'binafsi hutaki ukewenza Wanawake wengi huko mtaan hawana Ndoa, na wanahitaji stara, kuliko Mume akazini huko nje na kuongeza list ya vimada si bora aoe tu apate thawabu na astiri Wanawake wenzetu,
Anaonekana ana hofu ya MUUMBA na anajilinda ndio maana ameogopa asije mtia dhima huyo atakaekua mume wake ndio maana ametaka hivi,nimemuelewa sana huyu dada
Mm ni mke wa kwanza Bahati mbaya Mume wangu ana wake wanne tayari ila MWENYEZI MUNGU atakupatia Mume mwema dear
Wapo wanne, hujamuelewa nini sasa hapo??
Kaushupalia vipi yaani???Dada mbona umeushupalia uzi kama wa kwako vile, ukisema una hofu ya Mungu tunategemea utakuwa na matendo ya ki-Mungu ikiwemo kujiepusha na zinaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujamuelewa wewe tu, amesema bahati mbaya mumewe ana wake wanne tayari that means including yeye.Ndio, kwa sababu amesema amekaribisha wenzie wanne maana yake ye wa tano
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua watu wengine hupenda tu kufanya ushabiki. Mimi namfahamu Khantwe na najua analijua alilolimaanisha Marnah ila basi tu ushabikiAcha kushadadia yasiyo kuhusu sio kila kitu kuchangia mengine usiyo na elimu nayo unayaacha yakupite, hiyo ni typing error kwa MUISLAM yoyote anaelewa hilo kwani ww hua ukosei? Naona kila sehem unacomment kwa kumdhihaki dada wa watu wala haipendezi kumnanga mwanamke mwenzio, Wanawake kwa Wanawake tunapokosea tunarekebishana nasio kushikilia bango alipokosea mwenzio. Isife mahali tubadilike
Halihitaji degree kujua kua amechapia alimaanisha kawapokea wake wenza wenzie watatu nayeye jumla wako wanne Kama QUR AN ilivyosema sasa unashabikia nn.
Kwa Muislam yoyote anajua kua alighafirika na kufanya typing error.
Yaani mkuu unasema wewe sio muislam lakini tayar unavyo vyuma viwili???? Na unataka kuongeza wa tatu??Mkuu, naomba unishauri jambo moja hapa.
Mimi kama nataka kubadili dini, ili nimpate huyu mashallah awe mke wa tatu, je inawezekana??
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha mbali Wallah Shadeeya! Maana Watanga hasa KE, wawe mabinti wadogo au wamama watu wazima, wakikutana wataongea kuanzia asubuhi, mchana, jioni na kama wanalala sehemu moja, basi na usiku pia watakesha hadi alfajiri wakiwa wanastorishana tu!Hahahaaa!!! Hana lolote kaamua kunichemsha tu huyo.
Nimjuavyo angekuwa na makubwa wala asingeweza kuandika hapa. Saa hizi angekuwa Tanga kwa Maama na akiwa kule huwa hapatikani kirahisi.
Wajua tena Watanga tukikutana kwa stori hata simu hazishikwi yaani twaweka pembeni. πππ
Mwapenda wenyewe. Kaka hivi ndio munaita Mathna au nimechanganya madawa hapa. πππMaasha Allah.
Allah awaongoe
Hahahaaaa. Huwa hayaishi tamu mazungumzo yaani si ajabu basi hapo mkianza enhee wamjua mtoto wa mzee fulani hivi bado yupo pale akianza kuhadithia basi utauliza yuko wapi? Mama yake je? Na Mkaza fulani naye bado yupo pale pale?π π basi tafrani.Umenikumbusha mbali Wallah Shadeeya! Maana Watanga hasa KE, wawe mabinti wadogo au wamama watu wazima, wakikutana wataongea kuanzia asubuhi, mchana, jioni na kama wanalala sehemu moja, basi na usiku pia watakesha hadi alfajiri wakiwa wanastorishana tu!
Wakiamka mwendo ni huohuo najiulizaga hivi yote wanayoongea yanakua ni ya kweli au mengine umbea tu?πππ. Lakini kwa vile hua hayanihusu nabakia kuwaangalia na kuwashangaa tuπ... kawaida yao lakini Makorora kudekaππππππ
Alaa, kuumbee! Mwataka jua habari za kila mmoja, kuanzia yeye mwenyewe, watoto wake, wazazi wake, marafiki/mashosti zake, majirani zake kama kina Mzee Mabruki, wote aliosoma nao kuanzia chekechea hadi chuo! Hahahaaa ndio maana basi mambo hayeshi, ushanipa siri ya kambi sasa ShadeeyaππππββοΈπββοΈπββοΈHahahaaaa. Huwa hayaishi tamu mazungumzo yaani si ajabu basi hapo mkianza enhee wamjua mtoto wa mzee fulani hivi bado yupo pale akianza kuhadithia basi utauliza yuko wapi? Mama yake je? Na Mkaza fulani naye bado yupo pale pale?π π basi tafrani.
Ila tumejizoelea wenyewe hatuoni shida.