Nahitaji ndoa ya uke wenza

Nahitaji ndoa ya uke wenza

Hebu mkalishe kitako mdogo wako akueleze yanayomsibu, pengine ni makubwa kama dunia, si ndio mwenyewe asemavyo?
Hahahaaa!!! Hana lolote kaamua kunichemsha tu huyo.

Nimjuavyo angekuwa na makubwa wala asingeweza kuandika hapa. Saa hizi angekuwa Tanga kwa Maama na akiwa kule huwa hapatikani kirahisi.

Wajua tena Watanga tukikutana kwa stori hata simu hazishikwi yaani twaweka pembeni. 😂😂😂
 
Usiwe m'binafsi hutaki ukewenza Wanawake wengi huko mtaan hawana Ndoa, na wanahitaji stara, kuliko Mume akazini huko nje na kuongeza list ya vimada si bora aoe tu apate thawabu na astiri Wanawake wenzetu,

Anaonekana ana hofu ya MUUMBA na anajilinda ndio maana ameogopa asije mtia dhima huyo atakaekua mume wake ndio maana ametaka hivi,nimemuelewa sana huyu dada

Mm ni mke wa kwanza Bahati mbaya Mume wangu ana wake wanne tayari ila MWENYEZI MUNGU atakupatia Mume mwema dear
Maasha Allah.

Allah awaongoe
 
Acha kushadadia yasiyo kuhusu sio kila kitu kuchangia mengine usiyo na elimu nayo unayaacha yakupite, hiyo ni typing error kwa MUISLAM yoyote anaelewa hilo kwani ww hua ukosei? Naona kila sehem unacomment kwa kumdhihaki dada wa watu wala haipendezi kumnanga mwanamke mwenzio, Wanawake kwa Wanawake tunapokosea tunarekebishana nasio kushikilia bango alipokosea mwenzio. Isife mahali tubadilike

Halihitaji degree kujua kua amechapia alimaanisha kawapokea wake wenza wenzie watatu nayeye jumla wako wanne Kama QUR AN ilivyosema sasa unashabikia nn.
Kwa Muislam yoyote anajua kua alighafirika na kufanya typing error.
Unajua watu wengine hupenda tu kufanya ushabiki. Mimi namfahamu Khantwe na najua analijua alilolimaanisha Marnah ila basi tu ushabiki
 
Hahahaaa!!! Hana lolote kaamua kunichemsha tu huyo.

Nimjuavyo angekuwa na makubwa wala asingeweza kuandika hapa. Saa hizi angekuwa Tanga kwa Maama na akiwa kule huwa hapatikani kirahisi.

Wajua tena Watanga tukikutana kwa stori hata simu hazishikwi yaani twaweka pembeni. 😂😂😂
Umenikumbusha mbali Wallah Shadeeya! Maana Watanga hasa KE, wawe mabinti wadogo au wamama watu wazima, wakikutana wataongea kuanzia asubuhi, mchana, jioni na kama wanalala sehemu moja, basi na usiku pia watakesha hadi alfajiri wakiwa wanastorishana tu!

Wakiamka mwendo ni huohuo najiulizaga hivi yote wanayoongea yanakua ni ya kweli au mengine umbea tu?😂😂😂. Lakini kwa vile hua hayanihusu nabakia kuwaangalia na kuwashangaa tu😀... kawaida yao lakini Makorora kudeka😀😀😀😂😂😂
 
Hahahaaaa. Huwa hayaishi tamu mazungumzo yaani si ajabu basi hapo mkianza enhee wamjua mtoto wa mzee fulani hivi bado yupo pale akianza kuhadithia basi utauliza yuko wapi? Mama yake je? Na Mkaza fulani naye bado yupo pale pale?😅😅 basi tafrani.

Ila tumejizoelea wenyewe hatuoni shida.
 
Alaa, kuumbee! Mwataka jua habari za kila mmoja, kuanzia yeye mwenyewe, watoto wake, wazazi wake, marafiki/mashosti zake, majirani zake kama kina Mzee Mabruki, wote aliosoma nao kuanzia chekechea hadi chuo! Hahahaaa ndio maana basi mambo hayeshi, ushanipa siri ya kambi sasa Shadeeya😀😂😀🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom