Nahitaji ndoa ya uke wenza

Hahahaaaaa. Lol
 
Khaa huu uzi nilikuwa sijafika kumbe nimetolewa povu namna hii?? Pole sana vitu vidogo hivi vinakupanikisha namna hii lazima una tatizo kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume ni lulu katika hii dunia...ata kama kila mwanaume ataamua kuoa 10 bado wanawake watabaki
Ila cha ajabu kuna wanaume wapo single yaani hawana hata wa kuegesha, huku kuna wanawake wanamiliki wanaume zaidi ya wawili. Wanataka hadi kutoana roho.
 
Sasa mkisema typing error tu mnapungukiwa nini kwani lazima mmwage povu? Mimi nilifikiri kuwa kuna circumstances ambazo huwa zinamruhusu mtu kuwa na zaidi ya wanne maana kuna sehemu pia niliwahi kusoma kuwa mtume alioa watano japo sina hakika nilitaka nipate uhakika. Poleni sana kama mmeguswa vile ambavyo sikumaanisha mimi maana si kwa mapovu haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amesema "Mimi ni mke wa kwanza na nimekaribisha wenzangu wanne".
Upo sahihi kusema wapo watano na yeye ndio anatakiwa aombe samahani kwa kuchapia na sio wewe.
Hapo mtoa mada na hizo ID mbili zinazopiga upatu ni mtu mmoja. Haiwezekani wote watokee 2016 hawajacoment kitu waje wacoment kwenye huu Uzi na kusepa.
 
Hebu nisaidie ndugu yangu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdigo wewe bhana. Mkaza fulani sio??
 
Daah! Hapo ni pazito Kaka. Najua mtasema imani zetu sio thabit lakini katika hili mmmh.

ukhuty.
Hahahahaahahaha

Hapana hata sitosema hivyo, hili ni Zito kwa kila mwanamke amini nikwambialo, ila ni level ya juu sana ya uchamungu kwa wale wanawake wanaolikubi kwa kutaka radhi za mola wao. I hope hiyo statement yangu ya mwisho umeielewa
 
Hii bahati imenipita wapi aisee.

Bibie bado una uhitaji ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…