Joseph midimu
Senior Member
- Mar 8, 2024
- 141
- 210
- Thread starter
-
- #21
DUUUH!,, HII MAMBO NILIKATAA TOKA MWANZO, USINGEJIBU TU.Kwa hio nyie wasenge wenzenu wananyimwa mkopo wanashindwa kusoma nyie mnapewa mikopo mnawaza usenge kusoma hamtaki, hii nchi ya kisenge sana hii na hapo utakuta ni mnufaika wa TASAF qhmamayo
Kuna mwenzio nae anapewa boom anaishi hotelini amepanga room hotelini na kusoma kwenyewe anasoma basi tu kusoma hataki km wewe sasa mliomba mkopo wa nini kuzibia wenzenu tu qhmamayo zenuHongera!
Sawa maja!Maliza kwanza chuo Kisha utilize akili Yako usije kulu
Mm Nina miak26 Nalima mpunga ninauzoefu wakutosha Nalima kwenye skimu kubwa ila sikushaur uwache chuo Moja Kwa Moja maliza kwanza Kisha uanze kutafuta fursa nyngne elimu na cheti ni miongoni mwa fursa p
Huwezi kuishi,, hotelini kwa kutegemea boom!Kuna mwenzio nae anapewa boom anaishi hotelini amepanga room hotelini na kusoma kwenyewe anasoma basi tu kusoma hataki km wewe sasa mliomba mkopo wa nini kuzibia wenzenu tu qhmamayo zenu
Kusitisha masomo aka Postponment of Sudies. Kila chuo kina utaratibu wake unaondoka na unaweza kukaa hata miaka miwili nje ya chuo bila kufukuzwa huku ukipambana na hicho kilimo, usifanye mambo kienyeji bila kuwa na alternative lakini maamuzi ni yako...milioni moja ni rahisi sana kuyeyuka ukishaingia kwenye shughuli za kilimoUnanishauri,, niendelee kushinda njaa kwa kula mihogo.?
Kwa saivi naweza kukodi heka tatu, mbili za mpunga na moja ya mahindi.
Mnazibia wenzenu wenye nia kweli ya kusoma tatizo serikali nayo ina mambo ya kisenge wanaotaka kusoma inaacha kuwapa mkopo inawapa wasiotaka kusoma qhmamayo zakeDUUUH!,, HII MAMBO NILIKATAA TOKA MWANZO, USINGEJIBU TU.
Duuuh!,, kivipi haieleweki.?Fanya vyovyote vile ujuavyo lakini usikimbie kitabu,hii Africa bado haileweki kabisa dogo!!!
Serikali yenu nayo qhmamayo tu inawapa mkopo wasiotaka kusoma ona sasaHuwezi kuishi,, hotelini kwa kutegemea boom!
Dogo hataki tena kusomaKusitisha masomo aka Postponment of Sudies. Kila chuo kina utaratibu wake unaondoka na unaweza kukaa hata miaka miwili nje ya chuo bila kufukuzwa huku ukipambana na hicho kilimo, usifanye mambo kienyeji bila kuwa na alternative lakini maamuzi ni yako...milioni moja ni rahisi sana kuyeyuka ukishaingia kwenye shughuli za kilimo
Heka tatu za mpungagunia 50,ukiuza jwa gunia laji moja utapata 5m,gharama utatumia 1MUnanishauri,, niendelee kushinda njaa kwa kula mihogo.?
Kwa saivi naweza kukodi heka tatu, mbili za mpunga na moja ya mahindi.
Ahahahaha!,, niliwaza nikiwa kwenye kilimo mahitaji yangu yote ya msingi nitapata! iwe ni chakula, mavazi etc.Kusitisha masomo aka Postponment of Sudies. Kila chuo kina utaratibu wake unaondoka na unaweza kukaa hata miaka miwili nje ya chuo bila kufukuzwa huku ukipambana na hicho kilimo, usifanye mambo kienyeji bila kuwa na alternative lakini maamuzi ni yako...milioni moja ni rahisi sana kuyeyuka ukishaingia kwenye shughuli za kilimo
Ahahahaha,, omba tena mkopo! MUNGU atakusaidia.Mnazibia wenzenu wenye nia kweli ya kusoma tatizo serikali nayo ina mambo ya kisenge wanaotaka kusoma inaacha kuwapa mkopo inawapa wasiotaka kusoma qhmamayo zake
Wako wengi ambao walidhani hawataki tena kusoma lakini baada ya maisha kuwafundisha wakagundua wanataka kurudi shule ikawa too late....ukipata fursa usiifungie mlango moja kwa moja...kama anaweza kuondoka na kuachana na masomo huku akiwa na mlango wa kurudi na ni mchakato usio na gharama yoyote kuna nini anachopoteza ?Dogo hataki tena kusoma
Shindia mihogo mwaka wa mwisho, sahivi save kidogo kidogo. Mwaka wa mwisho kaza uhitimu na huo mtaji.Broo,, hapa nashinda njaa, nashindia mihogo😁
GUNIA MOJA LA MPUNGA LAKI MOJA,, ALAFU MAHINDI NI 75000/-Heka tatu za mpungagunia 50,ukiuza jwa gunia laji moja utapata 5m,gharama utatumia 1M
Mahindi gunia 15 kwa 70000 utapata 1 m gharama laki tatu.
Kwa ujumla huwezi kupatafaida zaidi ya milioni 3
Dogo hataki shule useless government moneyWako wengi ambao walidhani hawataki tena kusoma lakini baada ya maisha kuwafundisha wakagundua wanataka kurudi shule ikawa too late....ukipata fursa usiifungie mlango moja kwa moja...kama anaweza kuondoka na kuachana na masomo huku akiwa na mlango wa kurudi na ni mchakato usio na gharama yoyote kuna nini anachopoteza ?