Nahitaji nijiengue kutoka kwenye elimu niwe mkulima wa mazao ya mpunga na mahindi



Mimi ni Mwalimu mwenzio tena Arts nimemaliza miaka michache ilopita.

Ushauri wangu ,maliza shule Kwanza Mimi nimepitia huko pia huwezi kupambania Elimu zaidi miaka 15 kisha uishie njiani eti ukaanze kulima Mafanikio hayako hivyo fanya jambo kwanza likamilishe unaweza usione matunda yake Leo au mapema lakini ipo siku Elimu itakulipa.


Nakuhakikishia pamoja na changamoto za soko la ajira bado Elimu inabaki kuwa mkombozi kwa watu tunaotoka kaya Maskini.


Hiyo Milioni iweke bajeti vizuri badala ya kulima kama unatoka vijjijini nunua mazao au nunua mbuzi kadhaa weka chukua nyingine jibajeti itumie kula vizuri soma vizuri hakuna haja ya kujitesa Huwa tunatafuta maisha huku tunaishi ,usitafute maisha ukasahau kuishia.

Naamini umenielewa.
Omba Mungu pia akupe hekima.
 
Ulishawahi kulima.?
 
Huyu jamaa anaetukana apewe maji kwanza apoze koo😁 anyway kanifanya nifike adi mwisho wa uzi
 
Inaonyesha hujawahi kushika hicho kiasi Cha pesa.Mdogo wangu hiyo ela ni mdogo sana.Hata ungekuwa na milioni Tano nsinge kushauri kuacha elimu.Kwanza umesema unasomea ualimu wa hesabu...muko marketable nyie,pili ushasoma miaka miwili....ikiwa kwa hapo tu hujui kutathmini kipi Cha muhimu baina ya hivyo viwili kwa sasa basi wewe akili yako ni finyu sana.Elimu muhimu.Pata gamba lako la ualimu alaf ingia mtaani fanya hayo ya ndoto yako.Ndo utakuja kujua ulikuwa wajipeleka jehanam.Hayo yafanye ukiwa na ajira tayari.
 
Ushauri mzuri 😁
 
Ila bhana,, bongo kila mtu anachanganyikiwa kwa wakati wake 😁
HESLB plus wewe na Serikali yako inayotaka vijana wawafanye wazazi wao wawe vilema ili wapewe mkopo wote wasenge
 
GUNIA MOJA LA MPUNGA LAKI MOJA,, ALAFU MAHINDI NI 75000/-
Hilo gunia la mahindi bei yake utafikiri uko forex, unaweza kuamka asubuhi ukakuta bei 35,000. Ilinikuta 2021 nilikusanya mzigo wa kutosha nasikilizia bei niwe milionea. Kilichonikuta siwezi kusahau kilimo kimejaa madalali wahuni sana.
Sikukatishi tamaa ila ujue kilimo biashara kinahitaji akili na bidii lazima uingie Frontline mwenyewe. Pia uwe na mtaji wa kueleweka ili usiyumbishwe na bei sokoni.
 
Unahisi ajira,, ni 100% kupata au nijitolee napo nitalipwa ni chini ya laki mbili sijala, sijavaa! Bado nitakua mtumwa vilevile.
 
Watoto wa 2000 sijuwi mnawaza nn au mnatumia Akili Mnemba.....
 
Naelewa.
 
πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ€£πŸ’©πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’©
Kizazi cha SSH kinachekesha sana
Yaani 1m inakufanya uone unaweza acha chuo course ya ualimu uingie kulima?
Sasa mwanangu kwanin usikaze kende hizo ukamaliza chuo then ukaajiriwa kwasababu masomo unayosoma chuo ajira ni uhakika..?
Kaza mbupu hizo maliza chuo ingia mtaani ingiza hicho kimillioni 1 kwenye kilimo wakat unasubiri ajira ya ualimu...
Hata ukipangiwa matakoni mwa Tanzania kilimo ni popote utahimishia nguvu huko. Kumbuka walimu wenzako walioko kazin wanafanya kazi masaa yasiyozidi 4 kwa siku baada ya hapo wanafanya miradi yao binafsi...

Am sorry for nothing nimemtumia lugha ngumu ila ndio hakuna namna, dawa ya kuponya haraka lazima ushikwe tako uchomwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…