Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hesabu za kwenye makaratasi ingia ulingoni uicheze ngomaBrother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.
Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.
2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.
Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.
13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo [emoji28]
Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.
Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.
Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.
Hapo umepiga mahesabu as if mortality rate ni 0%, lakini nikiona banda la huyo ndugu hicho kitu hakipo...Kuku 2000
Starter 20 @ 63000= 126000
Glower 40@61000= 2440000
Finisher 20@60000= 1200000
Chanjo 10000
Madawa 300000
Ume/joto 300000
Matandiko 100000
Maji 100000
Hiyo gharama halo juu ni 6M jumlisha vifaranga 4M jumla mkuu ni 10M
Mauzo
Kuku mmoja sasa ni 6000 × 2000= 1200000 faida ni 2M over
Nasema uongo ndugu zangu
Hapo kwenye starter naona hesabu sio sawaKuku 2000
Starter 20 @ 63000= 126000
Glower 40@61000= 2440000
Finisher 20@60000= 1200000
Chanjo 10000
Madawa 300000
Ume/joto 300000
Matandiko 100000
Maji 100000
Hiyo gharama halo juu ni 6M jumlisha vifaranga 4M jumla mkuu ni 10M
Mauzo
Kuku mmoja sasa ni 6000 × 2000= 1200000 faida ni 2M over
Nasema uongo ndugu zangu
Faida mnayogawana 50% ni baada ya partner wako kutoa cost ya mtaji na running costs?Brother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.
Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.
2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.
Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.
13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo [emoji28]
Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.
Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.
Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.
Napenda kusikia wanavyokula, makopo huwa yanapiga kelele "kachakachakacha".Kuku wa nyama sio mchezo mimi Sahiv nimepumzika kidogo, maana hii. Kitu ni pasua kichwa
Mbona umefanya UJANJA UJANJA kwenye hizo hesabu zako? Bei ya kununulia vifaranga 2,000 ni 4m na ukijumlisha na gharama za chakula 1.9M, italeta jumla ya takribani 6M.Brother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.
Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.
2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.
Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.
13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo [emoji28]
Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.
Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.
Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.
Hesabu zake zenyewe amefanya UPOTOSHAJI mwingi mno.Banda lako halina sifa ya kuwa banda la kuku. Pia mahesabu yako kinadharia zaidi hayana uhalisia.
Kuandaa hesabu za mradi ni kaziHalafu hajaweka gharama za maji, umeme, maranda, mishahara ya w/kazi,
Kuku wanaanza kuuzwa baada ya wiki 4 mkuu then mabanda yako hayana ubora wakutosha madirisha madogo, alaf kwa bei ya shamba ni 6000 sio 6500 then soko la unalo la uhakika wa kuwa toa hao kuku kwa pamoja maana ikifika muda wakutoka hawajatoka unaanza kula hasaraBrother... Unaposema Pesa ndefu mnoo ni kiasi gani hiko? Ni kweli kifaranga kimoja ni 2000/= Hivyo vifaranga 2000 ni 4M.
Chakula cha kulisha vifaranga 2000 tutahitaji viroba 30, ambavyo bei itacheza kwenye 53,000/ hadi 62,000/= kwa kiroba. Tufanye 1.9M.
2M + 1.9M = 4M, Madawa hayana bri kabisaa na ni hadi kuku watakapoumwa, hata kuku wote wakiumwa madawa hayatazidi Tsh 50K.
Ok tuje kwa upande wa faida, kuku mmoja 6500/=, kwaiyo kuku 2000 ni 13,000,000/=.
13,000,000 - 4,000,000 = jibu utakua nalo [emoji28]
Kumbuka kuku hao tutauza baada ya week 2 hadi 3.
Sasa kaka unaposema pesa ndefu bila ya kuweka maelezo yaliojitosheleza mtu hatokuelewa ni urefu upi huo. Kumbuka pia mabanda yanaingiza kuku 6000.
Huu ni ufugaji biashara mkuu wenye faida, karibu tufuge kibiashara.
Embu acha kutudanganya eti hata kuku Wote wakiumwa haifikia 50k, trisul lita Moja 80,000, dawa ya kupuliza bandani TH4, 5000, Dawa yakuingizia colaxan/trimafarm 9000,chanjo newcastle/gumboro 5000, vitamin 12000-15000, protein C 17000, hapo uwape trisul wasipone ukimbilie kwenye madawa mengine mengi si chini ya 12000 gram mia, sasa kwa kuku tuchukulie 2000 mpaka wamalize dozi ya siku tano si chini ya gram 1200 means ni 12000×12= 144,000, nachotaka kusema ni kwamba ufugaji wa broiler madawa yanagharama sanaa unaweza ukachizika wacha kupotosha watu.
PERIOD.