Nahitaji partner kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama (broiler)

Upo sahihi, umenena vema na nimekuelewa. Wengine ni mamotivation speaker. Yaan ufugaji wa makaratas unaweza pasuka
 
Huyu jamaa hana experiences ya kuwa fuga au anafuga kienyeji kama anakuambia kuku anatolewa wiki mbil au tatu , huo si uongo wa wawazi kabsa
Anafuga kienyeji zaidi na sio kibiashara kwa jinsi ninavyoona.....
 
Wale kuku wamejaa madawa sanaaa aiseee.....alafu hawana hata radha kabisaaaaa....
 
NISAIDIE NINATAKA KUANZA NA BROILER 200 TU NATAKIWA KUWA NA SH NGAP BANDA NINALO TAYAR
 
NISAIDIE NINATAKA KUANZA NA BROILER 200 TU NATAKIWA KUWA NA SH NGAP BANDA NINALO TAYAR
Broila 200 watumia Chakula mifuko 8
,Starter 2(68000),grower 2(66000),finisher 4(65000)
Bei zinatifautiana kulingana na maeneo finisher zina bei ndogo kuliko starter.
Madawa weka 50,000 pemben
Maji na umeme ....15000
Mkaa wa kujenga joto bandan...10,000

Lenga kuwauza mapema wakiwa na wiki 3 wakiwa wamekula mifuko 6-7
 
Mkuu,madawa mimi nafuga kuku 500,ila madawa haizidi 20,000.

Kuna madasa kibao umeyataja sijawahi kuyatumia kabisa.
 
Mkuu,madawa mimi nafuga kuku 500,ila madawa haizidi 20,000.

Kuna madasa kibao umeyataja sijawahi kuyatumia kabisa.
Hongera Mkuu, kufuga Kuku 500 na madawa yasizidi elf 20 sio Jambo dogo, kama hutojali tusaidie ni dawa zipi unazotumia hadi gharama isifike elf 20 niko curious
 
Mkuu kwa hesabu hizo na hiyo faida wewe umeshindwaje hata ujikute imebaki na mabanda matupu?
 
Ila mimi nashauri hawa broiler ukimaliza kuwapa grower rudia tena kuwapa starter, achana kabisa na finisher mtakuja kunishukuru.

Tena chakula cha mchina ndio chenyewe hakuna harufu ya kinyesi wala huwezi kugombana na majirani.

Achana na vyakula wanavyoweka chumvi eneo lote linanuka kinyesi cha kuku.
 
Kiongozi naomba nikuulize kidogo. Pale wanapokuwa wanadondosha mpaka kiroba kwa siku upatikanaji wa mbolea unakuwaje???
 
Vifaranga vya broiler vinapatikana jumamosi wa siku 1
Box ni laki 22000 @ 102
Ofisi zetu zipo banana njia ya kitunda tupigie no. 0789411234 kwa oda yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…