Nahitaji partner kwenye mradi wa ufugaji kuku wa nyama (broiler)

Nilifugaga kuku 150 kipindi hiyo nimemaliza form six 2008

Nilijikuta nauza mpaka nguo zangu na viatu ili ninunue pumba za kuku kwa siku walikuwa wanakula debe 1.5 na maji ndoo 3 sio kwa jua lile pale tegeta

Balaa nkaja nkaumwa nkalazwa muhimbili daa kila siku napata simu kutoka kwa sister kuku wanaumwa wanasinzia na msosi umekata

Ikabidi nitoroke hospital nkaenda kuangalia kuku wangu,
Kwa njaa waliyokuwa nayo aisee na nilikuwa nimevaa bukta nilidonjolewa miguuni nilitoka na vidonda kama 15 yan nimetoka bandan dam zinanivuja miguuni

Aisee ufugaji au kilimo nyie sikieni tu
 
Hahaa!

Daah nimecheka sana mkuu.

Broiler lazima ujipange kwenye msosi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha kwa hyo kuku kwa hasira ya kutowapa chakula wakaona Bora wakukule mfugaji

Wengi hawajipangi katika ufugaj unapoamua kufuga piga hesabu ya madawa chakula had siku ya mavuno

Chakula+ dawa = ndio mzigo mkuu kwa mkulima

Unaweza fanikisha hayo yote soko nalo likawa hovyo

Ufugaji unahtaj timing Sana hasa kwa kuku

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nataka niwekeze na mleta uzi, tufuge paka hawana gharama, fanya tafiti uniletee hesabu
 
Kwenye ujenzi wa mabanda umechemka ndugu yangu.kwa kawaida banda la kuku linatakiwa liwe na Kazi mbili tu zA tofali
Hili sio banda ni godown...hewa haingii,halafu kwenye cost mhh..sio realistic kabisa,jamaa kachagua upande ambao cost ni costant..ila upande wa cost za chakula ni kubwa mno...
HII DILI LABDA UMUOTEE MSTAAFU ANAWEZA KUKURUPUKA!
 
Hili sio banda ni godown...hewa haingii,halafu kwenye cost mhh..sio realistic kabisa,jamaa kachagua upande ambao cost ni costant..ila upande wa cost za chakula ni kubwa mno...
HII DILI LABDA UMUOTEE MSTAAFU ANAWEZA KUKURUPUKA!
Hata wastaafu nao wanastuka siku hizi...
 
Yah maana wastaafu wa siku hizi unakuta mtu anakaa 2yrs hajapata mzigo so hawezi kuchezea pesa..
 
Mkuu Nahitaji kuteta nawe pembeni

Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hii mbinu ushawahi itumia Mkuu,vipi matokeo yake yalikuaje?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi hesabu huendelea kubaki kwenye makaratasi lakini uhalisia hutokaa uuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…