quadraqoraman
Senior Member
- Aug 11, 2016
- 105
- 89
Maelezo yako poa sana nimekupata mkuu,mi nnlidhani ni nuksi [emoji3]Si nuksi mkuu , unajua gari ikishapatwa na ajali inapoteza Ile ladha halisi na nyingine hata chasis huwa zinakuwa zimepinda pia unaweza jikuta unahangaika na alignment maisha yake yote hali kadhalika unaweza ikuta hata ikikimbia inaleta vibrations unnecessarily labda kama iwe ilipata minor ajali. Ila si nuksi kuwa na gari iliyopitia ajali
Mkuu sorry nakukatisha.... Sit ndo gari gani?Mm ninameagiza sit new model mil 19 mpaka hapo mzembe kweli ww ulipo ONA watu wanalalamika uchumi mgumu ukadhani million 9 nyingi , HIZO NI nyingi kwa mafisadi NDIO wanao teseka mpaka Leo , NENDA sasahivi angalia sit new model dollar NGAPI India kwenye calculator lete majibu
....teh hee hee..,kwamba umekuja kwa id nyingine ama umejivika uwakili???...stori ya gari 'iliyotumika nchini' umezileta wewe;soma post ya awali kabisa!..na,hata hiyo 'iliyotumika nchini' iliagizwa;ama tuna viwanda vya magari siku hizi hapa nchini?numesoma comments humu nimebaki mdomo wazi, kikawaida kabisa tuna amini wengi waliojiunga na JF ni intellectuals lakini kwa comments hizi kutoka kwenye hii post basi kama taifa tuna safari ndefu sana.
post inazungumzia ujitaji wa gari iliyotumika nchini yenye namba kuanzia D , lakini wanaocomment wanaanza tena kuleta story za kuagiza gari, hivi mnasomaga kwanza post au kukurupuka tu kucomment? kwa hyo bei unaweza pata mkononi mwa MTU ila ikague vizuri gari kabla hujaamua kuinunua!
Nitafute 0655229028Wandugu wa JF ninahitaji kununua Premio New Model no D. Iwe na CC 1500. Bei isizidi Million 9. Tafadhali nitumie msg kwenye PM kama una gari ya aina hiyo na ipo kwenye hali nzuri
Asante kwa ushauriKwa mil 9 kuna mawili:
1. Upate gari mbovu itakayokufia mikononi; au
2. Upate mtu mwenye shida na anayeuza hiyo gari kwa bei hiyo (ingawa na utu uzima wangu SIJAWAHI kuona Premio new model inauzwa kwa 9 m).
Nitumie picha na specification ya gar yako inbox pleaseGari nnayo naiuza
numesoma comments humu nimebaki mdomo wazi, kikawaida kabisa tuna amini wengi waliojiunga na JF ni intellectuals lakini kwa comments hizi kutoka kwenye hii post basi kama taifa tuna safari ndefu sana.
post inazungumzia ujitaji wa gari iliyotumika nchini yenye namba kuanzia D , lakini wanaocomment wanaanza tena kuleta story za kuagiza gari, hivi mnasomaga kwanza post au kukurupuka tu kucomment? kwa hyo bei unaweza pata mkononi mwa MTU ila ikague vizuri gari kabla hujaamua kuinunua!
Hahahaahha....dalali analenga akampige ng'ombe!
.maisha ndivyo yalivyo!
Mkuu samahani kidogo nje ya mada. Barclays Plc wanatoa interest ya fixed account 13% kwa miezi 6 una uhakika na hili?HUWEZI PATA Kama ukipata huta kaa nayo hata MWAKA itakutia HASARA katika MAISHA YAKO OGOPA AU KUA MAKINI KUPATA KITU BORA KWA BEI YA KUTUPA , bora hata hiyo fedha weka baclays Plc baada ya KILA imezi 6 unapata 13% ya fedha yako HUKU ukiwaza fanya maamuzi sahihi,
PILI usinunue gari KAMA HELA NDIO HIYO A NDIO ULIYO WAHI KAMATA KATIKA MICHONGO YAKO UTAFIRISIKA MAANA GARI HILI HALIZAKISHI LABDA UE NA MISHE ZA MAAANA ZA KUFUATILIA ILA KAMA KWA STAREHE UMEKWISHA
Bei?Umechelewa kaka,nimeiuza asubuhi. ..hapa nnayo Raum New Model
Sawa....Umechelewa kaka,nimeiuza asubuhi. ..hapa nnayo Raum New Model
Upo juu sana kamanda. Thank you anywayGari ipo Premio new modeli (Engine ndogo) bei ni Tsh.14m Namba DJN....
Njoo inbox
Kila mtu huwa anakuja na lake huku JF. Wanasema akili za kuambiwa changanya na zakonumesoma comments humu nimebaki mdomo wazi, kikawaida kabisa tuna amini wengi waliojiunga na JF ni intellectuals lakini kwa comments hizi kutoka kwenye hii post basi kama taifa tuna safari ndefu sana.
post inazungumzia ujitaji wa gari iliyotumika nchini yenye namba kuanzia D , lakini wanaocomment wanaanza tena kuleta story za kuagiza gari, hivi mnasomaga kwanza post au kukurupuka tu kucomment? kwa hyo bei unaweza pata mkononi mwa MTU ila ikague vizuri gari kabla hujaamua kuinunua!