quadraqoraman
Senior Member
- Aug 11, 2016
- 105
- 89
Maelezo yako poa sana nimekupata mkuu,mi nnlidhani ni nuksi [emoji3]Si nuksi mkuu , unajua gari ikishapatwa na ajali inapoteza Ile ladha halisi na nyingine hata chasis huwa zinakuwa zimepinda pia unaweza jikuta unahangaika na alignment maisha yake yote hali kadhalika unaweza ikuta hata ikikimbia inaleta vibrations unnecessarily labda kama iwe ilipata minor ajali. Ila si nuksi kuwa na gari iliyopitia ajali