Car4Sale Nahitaji Premio New Model

Car4Sale Nahitaji Premio New Model

Si nuksi mkuu , unajua gari ikishapatwa na ajali inapoteza Ile ladha halisi na nyingine hata chasis huwa zinakuwa zimepinda pia unaweza jikuta unahangaika na alignment maisha yake yote hali kadhalika unaweza ikuta hata ikikimbia inaleta vibrations unnecessarily labda kama iwe ilipata minor ajali. Ila si nuksi kuwa na gari iliyopitia ajali
Maelezo yako poa sana nimekupata mkuu,mi nnlidhani ni nuksi [emoji3]
 
Mm ninameagiza sit new model mil 19 mpaka hapo mzembe kweli ww ulipo ONA watu wanalalamika uchumi mgumu ukadhani million 9 nyingi , HIZO NI nyingi kwa mafisadi NDIO wanao teseka mpaka Leo , NENDA sasahivi angalia sit new model dollar NGAPI India kwenye calculator lete majibu
Mkuu sorry nakukatisha.... Sit ndo gari gani?
 
numesoma comments humu nimebaki mdomo wazi, kikawaida kabisa tuna amini wengi waliojiunga na JF ni intellectuals lakini kwa comments hizi kutoka kwenye hii post basi kama taifa tuna safari ndefu sana.
post inazungumzia ujitaji wa gari iliyotumika nchini yenye namba kuanzia D , lakini wanaocomment wanaanza tena kuleta story za kuagiza gari, hivi mnasomaga kwanza post au kukurupuka tu kucomment? kwa hyo bei unaweza pata mkononi mwa MTU ila ikague vizuri gari kabla hujaamua kuinunua!
 
....teh hee hee..,kwamba umekuja kwa id nyingine ama umejivika uwakili???...stori ya gari 'iliyotumika nchini' umezileta wewe;soma post ya awali kabisa!..na,hata hiyo 'iliyotumika nchini' iliagizwa;ama tuna viwanda vya magari siku hizi hapa nchini?
...mwisho,kuhusianisha comments za post hii na safari yetu kama taifa,ni uzuzu!..just don't play smart while you're not!(dadeki,viroba vimeniwezesha kuandika 'kidhungu' leo!)
 
Kwa mil 9 kuna mawili:

1. Upate gari mbovu itakayokufia mikononi; au

2. Upate mtu mwenye shida na anayeuza hiyo gari kwa bei hiyo (ingawa na utu uzima wangu SIJAWAHI kuona Premio new model inauzwa kwa 9 m).
 
A

Asante kwa ushauri
 
numesoma comments humu nimebaki mdomo wazi, kikawaida kabisa tuna amini wengi waliojiunga na JF ni intellectuals lakini kwa comments hizi kutoka kwenye hii post basi kama taifa tuna safari ndefu sana.
post inazungumzia ujitaji wa gari iliyotumika nchini yenye namba kuanzia D , lakini wanaocomment wanaanza tena kuleta story za kuagiza gari, hivi mnasomaga kwanza post au kukurupuka tu kucomment? kwa hyo bei unaweza pata mkononi mwa MTU ila ikague vizuri gari kabla hujaamua kuinunua!
 
HUWEZI PATA Kama ukipata huta kaa nayo hata MWAKA itakutia HASARA katika MAISHA YAKO OGOPA AU KUA MAKINI KUPATA KITU BORA KWA BEI YA KUTUPA , bora hata hiyo fedha weka baclays Plc baada ya KILA imezi 6 unapata 13% ya fedha yako HUKU ukiwaza fanya maamuzi sahihi,
PILI usinunue gari KAMA HELA NDIO HIYO A NDIO ULIYO WAHI KAMATA KATIKA MICHONGO YAKO UTAFIRISIKA MAANA GARI HILI HALIZAKISHI LABDA UE NA MISHE ZA MAAANA ZA KUFUATILIA ILA KAMA KWA STAREHE UMEKWISHA
Mkuu samahani kidogo nje ya mada. Barclays Plc wanatoa interest ya fixed account 13% kwa miezi 6 una uhakika na hili?
 
Gari ipo Premio new modeli (Engine ndogo) bei ni Tsh.14m Namba DJN....
Njoo inbox
 
Umechelewa kaka,nimeiuza asubuhi. ..hapa nnayo Raum New Model
 
numesoma comments humu nimebaki mdomo wazi, kikawaida kabisa tuna amini wengi waliojiunga na JF ni intellectuals lakini kwa comments hizi kutoka kwenye hii post basi kama taifa tuna safari ndefu sana.
post inazungumzia ujitaji wa gari iliyotumika nchini yenye namba kuanzia D , lakini wanaocomment wanaanza tena kuleta story za kuagiza gari, hivi mnasomaga kwanza post au kukurupuka tu kucomment? kwa hyo bei unaweza pata mkononi mwa MTU ila ikague vizuri gari kabla hujaamua kuinunua!
Kila mtu huwa anakuja na lake huku JF. Wanasema akili za kuambiwa changanya na zako
 
Back
Top Bottom