Nahitaji rafiki wa kike ambaye atakuwa mke wangu ziku za baadaye

Aisee. Samahani mkuu ingawa nina imani kubwa sana kwamba watumiaji wengi wa JF ni wasomi na wanaimudu hii lugha vizuri hata kama siyo sana ila wanaielewa kwa kiasi fulani.

Sawa ingawa matumizi ya lugha ya Kiingereza haijaathiri haki yako yoyote mkuu.

Sawa nimekuelewa mkuu.

Kuweka picha hapa sipo tayari kwa sababu ya kulinda twasira yangu katika jamii ingawa atakayekuja PM tutabadilishana mawasiliano na kama atahitaji picha nitamtumia bila kipingamizi chochote.
Unalinda taswira yako kwa jamii!!?
Jamii inakukataza wewe kua na mwenza? Au una hofu gani kuu uliyonayo kwa jamii yako?

Jiaminishe ili tukuamini.
 
Unalinda taswira yako kwa jamii!!?
Yes.
Jamii inakukataza wewe kua na mwenza? Au una hofu gani kuu uliyonayo kwa jamii yako?
Hainikatazi ingawa sipendi kutuma picha kwenye mitandao kwa sababu watu hawachelewi kutumia hizo picha kukuchafua n.k
Jiaminishe ili tukuamini.
Sidhani kama picha ni jambo la msingi sana la kukufanya uniamini kwani hata nikiweka picha utajuaje kama ni mimi mkuu? Niwaombe tu kwamba kama mtu yupo tayari nitamtumia kwa njia nyingine ila siyo hapa.
 
Sasa mpaka Hapa Law Man unatakiwa kuziro-in.. na uache kuzungumza na the jury ... Ufanye cross na Mtamaduni.

Chonde chonde iwe hapa hapa mashabiki tuone.. sio mnaenda imbobo kutunyanganya uhondo. 🙂

1,2,3 Go!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu. Nimekuelewa sana.
 
Back
Top Bottom