Nahitaji rafiki wa kike ambaye atakuwa mke wangu ziku za baadaye

Nahitaji rafiki wa kike ambaye atakuwa mke wangu ziku za baadaye

Yaaan mkuu umesoma sheria.....INA maana umeshindwa kupata mademu chuo, field ...kazin ad uje JF
 
Habari za jioni ndugu zangu wana MMU.

Bila kupoteza muda ni kwamba nina miaka 30, mkiristo, nina elimu ya chuo, nimejiajiri mwenyewe, nina urefu wa wastani.

Hivyo basi, kutokana na hizo sifa hapo zilizotajwa hapo juu napenda kuwataarifu kwamba nahitaji rafiki wa kike ambaye siku za mbeleni atakuwa mke wangu kama tutakuwa na maridhiano.

Nitafurahi sana kama nitampata rafike mwenye sifa zifuatazo:- awe na umri wa miaka 24-29, awe mwanasheria/daktari/mwalimu/mhasibu, awe ni mcha mungu, asiwe mweupe sana wala mweusi sana, pia awe mrefu wa wastani.

Kadhalika, sipendi rafiki mwenye mtizamo hasi na usio sahihi (uongo, lawama, chuki, kununa bila sababu, unafiki,gubu na umbea) bali napenda rafiki ambaye atakuwa na mawazo chanya, mazuri na yenye kujenga na mwenye ustaarabu mwingi na staha.

Aidha, napenda rafiki ambaye ni muwazi sana nikimaanisha kwamba ambaye yupo tayari kueleza makosa yangu au kuniambia ukweli mtupu bila kupepesa macho pale ambapo nitakosea.

Mwisho, nina dhamira nzuri na nimedhamiria katika jambo hili kwa lugha nyepesi nipo tayari kujenga huo urafiki ambao utakuwa imara kuelekea katika maisha ya ndoa.

Karibuni sana PM.

Ahsanteni.
endelea kutafuta
 
Appeal pm mapema, mi mwenyewe shahidi siwezi nkakubali nafasi yako kama mzaliwa wa kwanza unyang'anywe kizembe, ka appeal PM ukishindwa njoo niite shahidi
Nenda PM kwa niaba yangu...ila mrejesho unilete hapa jukwani...🙃🙃
 
Sawa. Basi ambatanisha jina lako la kwanza la mwisho na picha mbili moja ulopiga katika pose na moja passport size ukubwa inch 2.5 x 4.5 vitume pm katka pdf format. Bila kusahau hela ya fomu ya kuappeal
APPELLANT bear with us.....[emoji1540][emoji1540] is for a good cause.

Smart Technician utanisaidia ku crop hizo picha..kuhusu malipo nimeambiwa ni bure....usiniangushe.
 
APPELLANT bear with us.....[emoji115][emoji115][emoji115] is for a good cause.

Smart Technician utanisaidia ku crop hizo picha..kuhusu malipo nimeambiwa ni bure....usiniangushe.
[emoji16] wala usijari. Nitahakikisha nazi crop katika ubora ule ule. Yaani kwa court itakua patashika nguo kuchanika mpaka tuakikishe jimbo unalitwaa bila mgombea mwenza
 
Back
Top Bottom