Nahitaji rafiki wa kike ambaye atakuwa mke wangu ziku za baadaye

Unalinda taswira yako kwa jamii!!?
Jamii inakukataza wewe kua na mwenza? Au una hofu gani kuu uliyonayo kwa jamii yako?

Jiaminishe ili tukuamini.
 
Unalinda taswira yako kwa jamii!!?
Yes.
Jamii inakukataza wewe kua na mwenza? Au una hofu gani kuu uliyonayo kwa jamii yako?
Hainikatazi ingawa sipendi kutuma picha kwenye mitandao kwa sababu watu hawachelewi kutumia hizo picha kukuchafua n.k
Jiaminishe ili tukuamini.
Sidhani kama picha ni jambo la msingi sana la kukufanya uniamini kwani hata nikiweka picha utajuaje kama ni mimi mkuu? Niwaombe tu kwamba kama mtu yupo tayari nitamtumia kwa njia nyingine ila siyo hapa.
 
Sasa mpaka Hapa Law Man unatakiwa kuziro-in.. na uache kuzungumza na the jury ... Ufanye cross na Mtamaduni.

Chonde chonde iwe hapa hapa mashabiki tuone.. sio mnaenda imbobo kutunyanganya uhondo. πŸ™‚

1,2,3 Go!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu. Nimekuelewa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…