Nahitaji rafiki wa kike ambaye atakuwa mke wangu ziku za baadaye

Ukiweka picha ya uongo inamaanisha kila ulichokiandika ni uongo pia itamaanisha hata wewe pia ni wa uongo,

Anyway, kwanini umechagua mtandaoni?
Mtaani kuna nini?
(Utasema wa mtandaoni ndio hao hao wa mitaani)
Hello, wa mtaani mnaonana mtandaoni ni hisia za muandiko.
 
Ukiweka picha ya uongo inamaanisha kila ulichokiandika ni uongo pia itamaanisha hata wewe pia ni wa uongo,
Nachukia uongo sana. Hivyo sipendi nionekane muongo. Kama unataka picha naweza kukutumia PM
Anyway, kwanini umechagua mtandaoni?
Kwa sasa mtandao ni sehemu ya jamii. Bila jamii hakuna mtandao ingawa jamii ilikuwepo tangu zamani bila ya mitandao ya kijamii. Hivyo kwangu kama mtandao ni sehemu ya jamii naona ni sehemu sahihi kabisa.
Mtaani kuna nini?
Jamii ni sehemu ya mtaani pia. Hivyo hakuna kilichoharibika kwa sababu nipo mtaani bado.
(Utasema wa mtandaoni ndio hao hao wa mitaani)
Hello, wa mtaani mnaonana mtandaoni ni hisia za muandiko.
Upendo haujali kama mnaonana au haumuonani. Moyo ulivyoumbwa ni kwamba unaweza kupenda hata kama hamujaonana mfano kuna watu tuna upendo mkubwa sana kwa MUNGU ingawa hatujawahi kumuona.
 
Ushawahi kumpenda mtu ambae hujawahi kumuona?
Ilikuwaje?
 
Jibu lako ndio litafanya na mimi nikujibu
Katika usomaji wangu katika mitandao ya kijamii eg. quora ambapo niliona hicho kitu najua kuwa LGBT maana yake (lesbian, gay,bisexual and transgender). Pia nipo tayari kupokea maana nyingine ya LGBT.
 
Katika usomaji wangu katika mitandao ya kijamii eg. quora ambapo niliona hicho kitu najua kuwa LGBT maana yake (lesbian, gay,bisexual and transgender). Pia nipo tayari kupokea maana nyingine ya LGBT.
Enjoy your time,
I'm out here.
 
kamishina imigresheni πŸ˜… πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…