Nahitaji rafiki yeyote wa kubadilishana mawazo

gwidoti

Senior Member
Joined
Nov 6, 2016
Posts
142
Reaction score
173
Mimi ni msichana,nataka rafiki yeyote wa kubadilishana mawazo after work we me au ke ni sawa but story za apa na pale .msiniseme jamani ni upweke unanisumbua,nikirudi kazini nakosa wa kuongea nae kabisa,most of my friends wana watu wao but mimi muhanga nimeshindwa kuwa na mtu kabisa najaribu kuji keep busy kwenye mitandao lakini wapiii kuna muda najikuta nakuwa mpweke ghafla

NB:sitafuti mwenza apa ni rafiki tu.
 
bado kidogo utaanza kuwanga according to mshana Jr

What you don't know is what will get you killed.
 
Usipate shida njoo PM chap.

Mwanza!!
 
Uliyegoma kupenda kama mie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binti nipo pm yako hapo me mwenyewe mpweke saaana hebu fanya unicheki

Sent from my SM-N920F using Tapatalk
 
Umekuwa mhanga wa nini dada emu ungeelezea vzr ili watu wakufariji na kukupa mawazo mazuri ya nn ufanye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipm kama hautajari
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…