Nahitaji rafiki yeyote wa kubadilishana mawazo

Nahitaji rafiki yeyote wa kubadilishana mawazo

Woyiiii hayo nayapata anytime babu 😂mimi tu ndo nazinguaga kutulia na mtu coz naogopa kuumizwa teyar nina hofu ndani yangu kila mtu namwona hafai
 
Mimi Ni msichana,nataka rafiki yeyote wa kubadilishana mawazo after work...awe me au ke ni sawa but story za apa na pale...msiniseme jamani ni upweke unanisumbua,nkirudi kazini nakosa wa kuongea nae kabisa,most of my friends wana watu wao but mimi muhanga nimeshindwa kuwa na mtu kabisa..najaribu kuji keep busy kwenye mitandao lakini wapiii kuna muda najikuta nakuwa mpweke ghafla
NB:SITAFUTI MWENZA APA NI RAFIKI TU.
 
Lipia tangazo kwanza

Araaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini huyapendi mawazo yako?mpaka unataka mkabadilishane na mtu?na una uhakika yeye atataka achukue yako akupe yake?

Hayo mawazo unayotaka ubadilishane na mwenzio ni mazuri? Maana mimi binafsi napenda mawazo yangu sana na ya watu wengine sipendelei maana unaweza pewa mawazo machafu au ya hovyo. Kwa nini unataka mbadilishane?
 
Back
Top Bottom