Nahitaji rafiki yeyote wa kubadilishana mawazo

Niko apa [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Lakini amesema hatafuti mbebez eti anatafuta marafiki wa kubadilishana nao mawazo
Kalalamika sana wenzie wote wana watu wao yeye tu ndio nehi nehi ,atakufwa na mautamu yake huyo mjukuu wangu daah!
 
Kalalamika sana wenzie wote wana watu wao yeye tu ndio nehi nehi ,atakufwa na mautamu yake huyo mjukuu wangu daah!
😂😂mautamu nkiyataka siyakosi wallahi nafanya kuchagua tu...ila stakag mtu permanent maana ni stress tu...yani ata 2 weeks cjamliza tangu nipate mautamu babu😂😂
 
[emoji23][emoji23]mautamu nkiyataka siyakosi wallahi nafanya kuchagua tu...ila stakag mtu permanent maana ni stress tu...yani ata 2 weeks cjamliza tangu nipate mautamu babu[emoji23][emoji23]
Hongera zako mjukuu wangu

Nilihofu isijekuwa wenzio wote wana watu wao wakati wewe unakufwa na mautamu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…