Nahitaji rafiki yeyote wa kubadilishana mawazo

Woyiiii hayo nayapata anytime babu 😂mimi tu ndo nazinguaga kutulia na mtu coz naogopa kuumizwa teyar nina hofu ndani yangu kila mtu namwona hafai
 
 
Lipia tangazo kwanza

Araaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini huyapendi mawazo yako?mpaka unataka mkabadilishane na mtu?na una uhakika yeye atataka achukue yako akupe yake?

Hayo mawazo unayotaka ubadilishane na mwenzio ni mazuri? Maana mimi binafsi napenda mawazo yangu sana na ya watu wengine sipendelei maana unaweza pewa mawazo machafu au ya hovyo. Kwa nini unataka mbadilishane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…