Nahitaji saa hii original, siyo famba

Ndio hakuna fixed amount, labda Mwl.RCT atusaidie.

Nafkiria tu maybe anayekuletea anaweza akaweka data kama Picha ama kitu chengine unique halafu akutumie wewe kama ushahidi, simu ikifika unawaambia wa husika kwamba ni simu yako umetumiwa toka nje na hujanunua wafungue wenyewe wahakiki.

Alternative Tengeneza kabisa Apple id weka contact zako na kila kitu password yako halafu jamaa alogin kule kule ikija kama simu yako, wakiitoa kwenye makaratasi inadai password unaweka mbele yao itakua rahisi kukuamini.
 
Asante kwa mawazo mkuu. Mwl.RCT kama una muda tunaomba uzoefu kuhusu kutumiwa zawadi ya simu kutoka nje. Kwa mfano Iphone 12 mpaka 14, nimetumiwa na ndugu yangu kama zaidi nitalipia kodi kiasi gani? Lets say simu mbili tu.
 
Casio ni saa nzuri sana.
Kuna mhindi Kariakoo anauza hizi saa.
Ninazo 3 tofauti tofauti. Kuna moja nimebadilisha betri baada ya miaka 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…