Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Ndio hakuna fixed amount, labda Mwl.RCT atusaidie.Ohoo. Asante sana. Ila ni kwa sababu ya urasimu tu ila wangetaka kujua kama ni zawadi ingekuwa rahisi kujua. Kwa mfano mtu anapotumiwa simu moja au mbili kwa mwaka hakika hiyo haiwezi kuwa ni ya biashara. Kama una info: simu kama Iphone 12 mpaka 14 inaweza kufikia kiasi gani kodi? Au ndiye zile za kodi inaendana na kujulikana ''kujua kuzungumza''?
Nafkiria tu maybe anayekuletea anaweza akaweka data kama Picha ama kitu chengine unique halafu akutumie wewe kama ushahidi, simu ikifika unawaambia wa husika kwamba ni simu yako umetumiwa toka nje na hujanunua wafungue wenyewe wahakiki.
Alternative Tengeneza kabisa Apple id weka contact zako na kila kitu password yako halafu jamaa alogin kule kule ikija kama simu yako, wakiitoa kwenye makaratasi inadai password unaweka mbele yao itakua rahisi kukuamini.