Nahitaji saa hii original, siyo famba

Nahitaji saa hii original, siyo famba

Ohoo. Asante sana. Ila ni kwa sababu ya urasimu tu ila wangetaka kujua kama ni zawadi ingekuwa rahisi kujua. Kwa mfano mtu anapotumiwa simu moja au mbili kwa mwaka hakika hiyo haiwezi kuwa ni ya biashara. Kama una info: simu kama Iphone 12 mpaka 14 inaweza kufikia kiasi gani kodi? Au ndiye zile za kodi inaendana na kujulikana ''kujua kuzungumza''?
Ndio hakuna fixed amount, labda Mwl.RCT atusaidie.

Nafkiria tu maybe anayekuletea anaweza akaweka data kama Picha ama kitu chengine unique halafu akutumie wewe kama ushahidi, simu ikifika unawaambia wa husika kwamba ni simu yako umetumiwa toka nje na hujanunua wafungue wenyewe wahakiki.

Alternative Tengeneza kabisa Apple id weka contact zako na kila kitu password yako halafu jamaa alogin kule kule ikija kama simu yako, wakiitoa kwenye makaratasi inadai password unaweka mbele yao itakua rahisi kukuamini.
 
Attachments

  • Screenshot_20241107_173654_Google.jpg
    Screenshot_20241107_173654_Google.jpg
    201.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241107_173706_Google.jpg
    Screenshot_20241107_173706_Google.jpg
    278.8 KB · Views: 2
Ndio hakuna fixed amount, labda Mwl.RCT atusaidie.

Nafkiria tu maybe anayekuletea anaweza akaweka data kama Picha ama kitu chengine unique halafu akutumie wewe kama ushahidi, simu ikifika unawaambia wa husika kwamba ni simu yako umetumiwa toka nje na hujanunua wafungue wenyewe wahakiki.

Alternative Tengeneza kabisa Apple id weka contact zako na kila kitu password yako halafu jamaa alogin kule kule ikija kama simu yako, wakiitoa kwenye makaratasi inadai password unaweka mbele yao itakua rahisi kukuamini.
Asante kwa mawazo mkuu. Mwl.RCT kama una muda tunaomba uzoefu kuhusu kutumiwa zawadi ya simu kutoka nje. Kwa mfano Iphone 12 mpaka 14, nimetumiwa na ndugu yangu kama zaidi nitalipia kodi kiasi gani? Lets say simu mbili tu.
 
Casio ni saa nzuri sana.
Kuna mhindi Kariakoo anauza hizi saa.
Ninazo 3 tofauti tofauti. Kuna moja nimebadilisha betri baada ya miaka 7.
 
Back
Top Bottom