Nahitaji saa hii original, siyo famba

Nahitaji saa hii original, siyo famba

Hii ni gold plated kabisa
Nnayo miaka mingi sana ilikuwa ya babu kipindi anaichkua ilikuwa parefu sana,nmechek bei sahv naona inasema hivyo

Ova
Ndio maana nikauliza mara 2
Longines ziko juu sana boss
Nimeziangalia za zamani na mpya daa ni kuanzia 3m ya bongo mpaka 10 huko
 
Hii ni gold plated kabisa
Nnayo miaka mingi sana ilikuwa ya babu kipindi anaichkua ilikuwa parefu sana,nmechek bei sahv naona inasema hivyo

Ova
Bora wewe umebahatika kuitunza
Wazee wa zamani ilikuwa sio heshima kutembea mikono mitupu bila saa
Father alinivulia saa yake miaka mingi iliyopita na kusema vaa hii saa, mwanaume saa ni muhimu 😄
Siku naondoka nikamuachia ila sikumbuki iliishia wapi ilikuwa Oris
 
Hii nmeitunza Sana miaka mingi
Na najuwa mwenyewe mzee alichukua parefu Sana .....ila ni kama urithi aliniachia 😄
Mimi navaaga saa mbili mbili watu wengi huwa wananiona kama chz 😄

😆 😂 😆 sasa saa mbili labda smartwatch na ya zamani ila zote saa za kawaida hata mimi nashangaa halafu zote mkono mmoja? We kiboko
 
Hii saa ina maana kubwa kwangu
😄

Ova
 
Attachments

  • 20241107_160247.jpg
    20241107_160247.jpg
    367.2 KB · Views: 2
Hii nmeitunza Sana miaka mingi
Na najuwa mwenyewe mzee alichukua parefu Sana .....ila ni kama urithi aliniachia 😄
Mimi navaaga saa mbili mbili watu wengi huwa wananiona kama chz 😄

Ova
Unawaambia Moja inasoma tz na nyingine kwa Trump huko
 
Ukiangalia Amazon hizi saa si chini ya Laki Mkuu Casio OG. Ila hapa kwetu wanauza bei kama 30,000 hivi so 99% ambazo zipo Tanzania Sio OG.

Link ya official Store Casio Amazon na hio saa

Kama unapenda Vitu OG nunua Online ila inaweza fika laki 2 mpaka Inakufikia mkononi.

Otherwise fanya Research kwa Chinese brand ipi inatoa Saa nzuri italipa hela ya kati ila utapata Quality kubwa.
Mkuu naomba niliulize swali nje ya mada. Hivi kama nina ndugu nje ya nchi na akanitumia zawadi ya X-mass kama simu ya mkononi eg Iphone au Samsung huwa nawajibika kulipia kodi wakati wa kuichukuwa? Chukulia anatuma kwa posta au carrier mwingine yoyote,
 
Kisheria Zawadi hailipiwi kodi, lakini mchezo huo ushatumika sana hadi siku hizi hauna maana, unakuta mtu ananunua simu, seller anafunga kama zawadi ili isilipiwe kodi, so siku hizi iwe zawadi isiwe zawadi italipa, unless una ushahidi mzito kuwa convince otherwise.
 
Ohoo. Asante sana. Ila ni kwa sababu ya urasimu tu ila wangetaka kujua kama ni zawadi ingekuwa rahisi kujua. Kwa mfano mtu anapotumiwa simu moja au mbili kwa mwaka hakika hiyo haiwezi kuwa ni ya biashara. Kama una info: simu kama Iphone 12 mpaka 14 inaweza kufikia kiasi gani kodi? Au ndiye zile za kodi inaendana na kujulikana ''kujua kuzungumza''?
 
Back
Top Bottom