Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Sikutanii Mkuu ni kweli kabisaUmeamua kunitania 😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikutanii Mkuu ni kweli kabisaUmeamua kunitania 😀😀
Anzia hapa: Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)Nielekeze Jinsi ya kununua kitu amazon
Nauliza kujua, unaweza kujidai hivi kumbe kweli kuna brand ya namna hiyo.Casio mkuu,humezei!
Ndio ndio, ukijiongeza saana na kavest na leso.Boxa🤣🤣🙌🏾
Casio Mkuu,nakaziaNauliza kujua, unaweza kujidai hivi kumbe kweli kuna brand ya namna hiyo.
Wakati mwingine hatuulizi kwa kejeli ni katika namna ya kujifunza zaidi duniani kuna vingi na huwezi jua kila jambo.
Ndio maana nikauliza mara 2Hii ni gold plated kabisa
Nnayo miaka mingi sana ilikuwa ya babu kipindi anaichkua ilikuwa parefu sana,nmechek bei sahv naona inasema hivyo
Ova
watu tuna roho ngumu sana🤣🤣Ndio ndio, ukijiongeza saana na kavest na leso.
Bora wewe umebahatika kuitunzaHii ni gold plated kabisa
Nnayo miaka mingi sana ilikuwa ya babu kipindi anaichkua ilikuwa parefu sana,nmechek bei sahv naona inasema hivyo
Ova
Hiki chuma cha moto mikanda iwe meusiNamimi natafuta Casio original hii hapa yenye ina step counter na Bluetooth
View attachment 3146060
Hii nmeitunza Sana miaka mingiBora wewe umebahatika kuitunza
Wazee wa zamani ilikuwa sio heshima kutembea mikono mitupu bila saa
Father alinivulia saa yake miaka mingi iliyopita na kusema vaa hii saa, mwanaume saa ni muhimu 😄
Siku naondoka nikamuachia ila sikumbuki iliishia wapi ilikuwa Oris
😆 😂 😆 sasa saa mbili labda smartwatch na ya zamani ila zote saa za kawaida hata mimi nashangaa halafu zote mkono mmoja? We kibokoHii nmeitunza Sana miaka mingi
Na najuwa mwenyewe mzee alichukua parefu Sana .....ila ni kama urithi aliniachia 😄
Mimi navaaga saa mbili mbili watu wengi huwa wananiona kama chz 😄
Ova
Hii saa ina maana kubwa kwangu😆 😂 😆 sasa saa mbili labda smartwatch na ya zamani ila zote saa za kawaida hata mimi nashangaa halafu zote mkono mmoja? We kiboko
Unawaambia Moja inasoma tz na nyingine kwa Trump hukoHii nmeitunza Sana miaka mingi
Na najuwa mwenyewe mzee alichukua parefu Sana .....ila ni kama urithi aliniachia 😄
Mimi navaaga saa mbili mbili watu wengi huwa wananiona kama chz 😄
Ova
Ongeza lishe mwanakwetu
FasheniKila siku natembea na simu yangu, saa ya nini? Au ni fasheni?
Mkuu naomba niliulize swali nje ya mada. Hivi kama nina ndugu nje ya nchi na akanitumia zawadi ya X-mass kama simu ya mkononi eg Iphone au Samsung huwa nawajibika kulipia kodi wakati wa kuichukuwa? Chukulia anatuma kwa posta au carrier mwingine yoyote,Ukiangalia Amazon hizi saa si chini ya Laki Mkuu Casio OG. Ila hapa kwetu wanauza bei kama 30,000 hivi so 99% ambazo zipo Tanzania Sio OG.
Link ya official Store Casio Amazon na hio saa
Kama unapenda Vitu OG nunua Online ila inaweza fika laki 2 mpaka Inakufikia mkononi.
Otherwise fanya Research kwa Chinese brand ipi inatoa Saa nzuri italipa hela ya kati ila utapata Quality kubwa.
Kisheria Zawadi hailipiwi kodi, lakini mchezo huo ushatumika sana hadi siku hizi hauna maana, unakuta mtu ananunua simu, seller anafunga kama zawadi ili isilipiwe kodi, so siku hizi iwe zawadi isiwe zawadi italipa, unless una ushahidi mzito kuwa convince otherwise.Mkuu naomba niliulize swali nje ya mada. Hivi kama nina ndugu nje ya nchi na akanitumia zawadi ya X-mass kama simu ya mkononi eg Iphone au Samsung huwa nawajibika kulipia kodi wakati wa kuichukuwa? Chukulia anatuma kwa posta au carrier mwingine yoyote,
Ohoo. Asante sana. Ila ni kwa sababu ya urasimu tu ila wangetaka kujua kama ni zawadi ingekuwa rahisi kujua. Kwa mfano mtu anapotumiwa simu moja au mbili kwa mwaka hakika hiyo haiwezi kuwa ni ya biashara. Kama una info: simu kama Iphone 12 mpaka 14 inaweza kufikia kiasi gani kodi? Au ndiye zile za kodi inaendana na kujulikana ''kujua kuzungumza''?Kisheria Zawadi hailipiwi kodi, lakini mchezo huo ushatumika sana hadi siku hizi hauna maana, unakuta mtu ananunua simu, seller anafunga kama zawadi ili isilipiwe kodi, so siku hizi iwe zawadi isiwe zawadi italipa, unless una ushahidi mzito kuwa convince otherwise.
Baba na mwanaHii saa ina maana kubwa kwangu
😄
Ova