GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini unatarajia kumsafirisha kwa ndege Mtanzania Kulwa Hassan Twalibu, aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Sterkfontein iliyopo Johannesbug- Afrika Kusini tangu mwaka 2018.
Balozi James Bwana amesema Twalibu anarejea Tanzania ili akaungane na familia yake, ikiwa ni miaka 12 tangu alipoondoka Tanzania kwenda Afrika Kusini kutafuta maisha, ambapo aliugua na kukaa hospitalini hapo kwa zaidi ya miaka sita.
Chanzo: azamtvtz
Tafadhali nakuomba tulia kabisa soma vizuri hii Taarifa kisha karibu na Tafakuri Tunduizi ( Critical Thinking ) yako. Binafsi kwa Video ya hii Taarifa husika nilivyoiona tu kisha nikayaita yale Macho yangu ya ndani kabisa nikagundua Kitu fulani ila naomba nisikiseme na niwaachie Wabobezi wa Fikra Pana zaid Waseme.