Honest One
JF-Expert Member
- May 12, 2017
- 235
- 278
Sio kweli,ndo wanaoongoza kwa kutokuwa na maadili ndo maana wanaolewa na wanaume wasiojielewa.Wazo lako zuri sana, walimu ni walezi wana dili na vitoto vitukutu kweli, cha ajabu wanaolewa na mijamaa mijinga jinga tu, nakuunga mkono mleta maada, nasubiri walimu waje hapa.
Nilidhani ni mimi tu ninayewajua vizur.Sio wanawake wa kuoa wale.Walimu watakupasua kichwa nakushauri wengi wanalia
Nafanya kazi hapo mim no doctor ,chauongo acha uwongo ,WEWE cha utundu ukitaka kwenda kupima ni pm nitakwaambia cha kufanya
Kwani mwanaume anaolewa??Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26
Mwalimu salamuAiseeh ng'ombe wa maskini hazai, vigezo vyote ninavyo tatizo sijaelewa hicho kigezo cha kuto kutumika sana tafadhali mkuu naomba ufafanuzi juu ya hicho kigezo ili hii fursa isinipite [emoji26][emoji26]
Tabia za mtu haziletwi na profession yake.Sio kweli,ndo wanaoongoza kwa kutokuwa na maadili ndo maana wanaolewa na wanaume wasiojielewa.
Bora wewe umekuwa mkweli.Mtumiko vipiiii... utampata sayari ya jupiter ama pluto ... Mabinti 99% tumetumika haswa ... Hhahhahahahhahhhah uwiiiiiii sio kwa karne hii
Hahhaa nimeipenda hiiMtumiko vipiiii... utampata sayari ya jupiter ama pluto ... Mabinti 99% tumetumika haswa ... Hhahhahahahhahhhah uwiiiiiii sio kwa karne hii
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] anakwepa majukumu huyoUnaoa ualimu wake au unataka mke? Kaka hapo bado una changamoto kubwa saaana!