Honest One
JF-Expert Member
- May 12, 2017
- 235
- 278
Sio kweli,ndo wanaoongoza kwa kutokuwa na maadili ndo maana wanaolewa na wanaume wasiojielewa.Wazo lako zuri sana, walimu ni walezi wana dili na vitoto vitukutu kweli, cha ajabu wanaolewa na mijamaa mijinga jinga tu, nakuunga mkono mleta maada, nasubiri walimu waje hapa.