Nahitaji sana kuoa walimu wa kike hasa wa sekondary au hata primary nitawapataje?

Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26
Ninaposema hajatumika sana nina maana kuwa yule binti ambaye hajawahi kuolewa au kuwekwa kimada kwa muda hata wa miezi 4 au mitano,nikimaanisha amekuwa single hata kama aliwahi kuwa na boy basi hakuwa akijipeleka kwa dozi mara 3 au 4 ndani ya wiki,nikimaanisha bado muscles za ndani zina nguvu na bado tight pia maziwa hayajanyoywa saaana,kiufupi maumbile ya nayomfanya aitwe binti bado yako vzr kiasi chake,msichana aliyewahi fanya mapenzi kama mtu aliyeolewa alikuwa akipokea dozi daily fikirien kwa miaka 2 au mwaka hadi alipoachika yukoje,huyo ndiye aliyetumika sana,ila kama aliwahi kuwa na kaka ila hakuweka makazi na alijiheshimu akilazimisha ndoa na baadaye jamaa akazidiwa kete akanyoosha mikono huyo angalau.
 
Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26

Yupo mmoja mrembo saaana na ametulia nichek nikupe namba yake
 
Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26
Mwenyezi akusaidie lakini............
Mi nimehamia sehem moja ipo kijijini, nikadhani labda huku uzinzi ni kiasi kidogo si kama mjini ila nilichoshudia ni tofauti.
Kuna walimu hawajaolewa lakini dah..ni visuuzio vya vijana kijijini. Nahisi mishahara midogo, na mabinti wanavyotaka nyumba zao ziwe na flat tv, sofa etc wanajikuta mishahara haitoshi wanagawa nyapu zao. Tafuta lakini hicho kigezo cha kutotumika bora kipe point 5% tu, na hii ni kwa sababu "" nguo kuukuu ni dekio jipyaaaa""
 
ahsante kwa taarifa na ushauri mzuri mkuu
 
Kama ualimu ndio sifa ya mke bora, basi ukimpata usisite kutupa update ya kitakacho kua kinaendelea huko ndoani.
 
Wewe unayehitaji mwalimu jiandae na stress za kuchapiwa,walimu wengi wa kike wanatoka familia masikini hivyo wameshachezewa vya kutosha na hiyo imeshakuwa ndo desturi yao.Mimi ni mwalimu pia hivyo nawajua vizuri,wanatumika mno mpaka kwa watu wa kawaida kama boda boda na walimu wenzao wakati tayari wameolewa.Usipende kuoa mtu cheap ili akuheshimu wakati atakuletea magonjwa. Kuwa mwangalifu mkuu ni bora umuoe mwanamke asiye na kazi.
 
Back
Top Bottom