Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Umeanza lini kuosha vyombo na kupika?
Hahahaaaaa!!! Basi ushatumika sana wewe.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kitambo sana japo huwa sipendi kujionyesha kwa watu maana wataniharibia binadam sio wema [emoji26]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hahahaaaaa!!! Basi ushatumika sana wewe.
Miss you Nataka shari[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tusifukuziane bahati jamani mbona unakuwa hivyo? Embu muache mkuu aje adadavue huo usemi nipate nguvu ya kuingia pm [emoji26]
We unapika na kuosha vyombo tangu utotoni ushatumika sana, tuachie sie ambao hatujatumika.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tusifukuziane bahati jamani mbona unakuwa hivyo? Embu muache mkuu aje adadavue huo usemi nipate nguvu ya kuingia pm [emoji26]
Wazo lako zuri sana, walimu ni walezi wana dili na vitoto vitukutu kweli, cha ajabu wanaolewa na mijamaa mijinga jinga tu, nakuunga mkono mleta maada, nasubiri walimu waje hapa.Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26
Unatumia pima majiSasa mkuu utajuaje kama ametumika sana au hajatumika??Je wewe umetumika sana au hujatumika??Ushauri wangu kwako huyo mke unayemtaka yupo ulipo jaribu kumtafuta ulipo na utapata utafutaji mwema
Hehehe jiandae shoo ntakushtuaUnakwenda lini twende wote?
Hapo kwenye kutumika sana ndio ulipoharibu uyajuaje huyu ametumika sana huyu badoMi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26
cha ajabu wanaolewa na mijamaa mijinga jinga tu.
Mkuu kila la heri, vuta subira. Ila tahadhari, nimepitia uzi wako fulani ulimshambulia sana waziri ukidai asikuzuie kuvishughurikia vitoto vya kike vya shule. Nina wasiwasi unaweza kuingia kwenye jaribu kubwa zaidi maana utakuwa karibu navyo sana ukiisha mpata huyo mwalimu.Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26
Niko tayari, we nishtue tu muda wowote.Hehehe jiandae shoo ntakushtua