chibuga mugeta
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 1,176
- 1,054
- Thread starter
-
- #21
mkuu uhaba wa vyuo ebu fikiria hapa DSM vyuo vilipo mkuu.labda chang,,, ndipo jirani nitajaribuNenda vyuo vya walimu uwaambie wewe ni engineer watakukimbilia
Umeonaeee usiache fursa ukupiteNgoja nkasomee ualimu sasa
Hahahaha eti MeterHivi kwani ina mita ya kuhesabu watumiaji?[emoji3][emoji3][emoji3]
Ngoja nikuitie walimu wangu ambao wako single ugangamare naoMi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26
Unakwenda lini twende wote?Ngoja nkasomee ualimu sasa
Kuoa Mwalimu lazima ujiandae kisaikolojia waalimu huwa wanawaza kila mtu ni mwanafunzi huko ndani ujiandae kupokea amri kila mara hata mbele za wageni.Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26
haswa! wengi wao ndo hivyoKuoa Mwalimu lazima ujiandae kisaikolojia waalimu huwa wanawaza kila mtu ni mwanafunzi huko ndani ujiandae kupokea amri kila mara hata mbele za wageni.
utapita kwenye vipimo? au hujaona hicho kipengeleUnakwenda lini twende wote?
Zunguka mashulenMi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26