Millifire69
Senior Member
- Jul 8, 2021
- 145
- 149
Hapana, lazima nisikilize kwa sababu haya mambo ukileta ujuaji hela yote itapukutika...Tatizo tukiwashauri hamtaki kufanyia kazi mawazo yetu [emoji3][emoji3]
Haijakaa vizuri hii, niseme hapa unajua kabisa hii sehemu ni public...ingawa sijazipata illegally lakini haileti picha nzurikijana miaka 20 alafu unamilion 40 embu tuambie umepata wap kwanza au umeiba ndo tukupe ushauri
Hapana, lazima nisikilize kwa sababu haya mambo ukileta ujuaji hela yote itapukutika...
70k kwa siku, kwa siku Saba inakuwa 490k, kwa mwezi itakuwa 1960000, Ila kwel hapo ndogo ukilinganisha na mtaji, labda kitu kingine aiseCoaster ilete elfu 70 naona kama ni too risk........
Mtaji mkubwa return ndogo
Mungu akujalie..π Asante sana kwa ushauri mzuriHongera kuwa na wazo la kuinvest ukiwa shuleni.
Biashara ya usafirishaji ni risk sana kupoteza mtaji. Nina uzoefu kwenye hili
Kama utaweza nenda uweke hizo hela benki kwenye fixed deposit account wakati ukiendelea na masomo, na kiasi kidogo maybe 5M nenda uwekeze UTT ili uewe unazungusha kupata hela ya kujikimu.
Jitahidi kukwepa vishawishi vya makundi hapo chuoni ili uje uhitimu ukiwa salama kiafya (afya ya akili na mwili), kwani una nafasi kubwa ya kuja kufanikiwa as tayari una mtaji wa kuanzisha safari yako ya mafanikio.
Kila la kheri.
Nishauri mimi. Nina million 10 sijui nifanye biashara ganiTatizo tukiwashauri hamtaki kufanyia kazi mawazo yetu [emoji3][emoji3]
Nishauri mimi. Nina million 10 sijui nifanye biashara gani
Wewe huchelewi kumwambia Dada wa watu akupeleke Zanzibar mkainjoi maisha π π πNishauri mimi. Nina million 10 sijui nifanye biashara gani
Amen Mkuu πMungu akujalie..π Asante sana kwa ushauri mzuri
Ah wee maenye natamani kweli kwenda hotel verde ila sasa chumba laki nne unusu kwa siku sii balaa hilo.Wewe huchelewi kumwambia Dada wa watu akupeleke Zanzibar mkainjoi maisha π π π
Haya maneno basi tuandikishianeWewe hiyo yako nipe nikutunzie, baada ya mwaka nakupa 30million unaonaje mtu wangu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe huchelewi kumwambia Dada wa watu akupeleke Zanzibar mkainjoi maisha [emoji28][emoji28][emoji28]