Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
😂😂😂Tukupe Odds 2 upate 80mill
au basi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Tukupe Odds 2 upate 80mill
au basi!
Unashikaje ten wakati kule kila kitu tunalipa kwa kadi
Nendeni chemba umuulize vizuri, hope atakubali, hapa tumpe ushauri bwana mdogo namna ya kuzalisha milioni zake 40 huku akiendelea na chuoMhm mbususu atatoa?
Huna dalili ya kutoa mbususu wewe wacha nikomae hapa nipate wazo.Bas ziingize kwenye account yangu mimi ndio nitaclear kila kitu, acha janja janja za nyani [emoji23][emoji23][emoji23]
Mdogoangu chukua ISUZU hio kafanyie kazi.Habari za muda huu, Mimi ni kijana wa miaka 20, hivi karibuni ninatarajia kupokea 40mil, je ni biashara gani ya uhakika naweza kuifanya yenye pesa..Mimi binafsi sipendelei maduka kabisa Wala sifikirii, Ila nilikuwa nawaza kununua coaster hata kama used kwa mtu, nimpe mtu afanyie kazi kwa siku iwe inakuja atleats 70k huku nikiendelea na chuo...
Nawakaribisha mnipe mawazo yenu. Asante
NALIA NGWENA endelea kulia huku unaliwa kwa pembeni😄😄Aje tu ila pesa anikabidhi mimi ndio mlipa bill zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huna dalili ya kutoa mbususu wewe wacha nikomae hapa nipate wazo.
Kibanda cha chips vipi wakuuu?
NALIA NGWENA endelea kulia huku unaliwa kwa pembeni[emoji1][emoji1]
5 Milion, kwenye UTT atapata ngapi kwa Mwezi?Hongera kuwa na wazo la kuinvest ukiwa shuleni.
Biashara ya usafirishaji ni risk sana kupoteza mtaji. Nina uzoefu kwenye hili
Kama utaweza nenda uweke hizo hela benki kwenye fixed deposit account wakati ukiendelea na masomo, na kiasi kidogo maybe 5M nenda uwekeze UTT ili uewe unazungusha kupata hela ya kujikimu.
Jitahidi kukwepa vishawishi vya makundi hapo chuoni ili uje uhitimu ukiwa salama kiafya (afya ya akili na mwili), kwani una nafasi kubwa ya kuja kufanikiwa as tayari una mtaji wa kuanzisha safari yako ya mafanikio.
Kila la kheri.
Angalia usipigwe dogo. Mjini kuna matapeli hatariHabari za muda huu, Mimi ni kijana wa miaka 20, hivi karibuni ninatarajia kupokea 40mil, je ni biashara gani ya uhakika naweza kuifanya yenye pesa..Mimi binafsi sipendelei maduka kabisa Wala sifikirii, Ila nilikuwa nawaza kununua coaster hata kama used kwa mtu, nimpe mtu afanyie kazi kwa siku iwe inakuja atleats 70k huku nikiendelea na chuo...
Nawakaribisha mnipe mawazo yenu. Asante
Mkuu 70K kwa mwezi ni 1,960,000?
Hizo pesa kama ni kweli utazipata ni heri ukatuliza akili kwanza
Usimamizi wa mishe za mchele na masomo ya chuo itawezekana kweli kwenda kwa wakati mmoja?Nunua mchele
Kama utapata connection nzuri chukua mchele huu wa nje ya nchi wauzie wauza mchele kwa jumla unaeza anza kuzungusha 10m kadri unavyoenda unaongeza pesa
Mchele haukati pesa labda utapeliwe tu
Maswali gani hayo dingilaikijana miaka 20 alafu unatarajia kupata milion 40 embu tuambie unaipatapataje kwanza au unaenda kuiba sehemu ndo tukupe ushauri
Hili nalipokea kwa mikono miwili.. Asante sanaMiaka 20 kwa mazingira ya kiafrika,akili bado sana-chochote titakacho shauri hapa kitakuwa kama mbuzi kupigiwa gitaa maana hataweza kufanya maamuzi yoyote nanisitoshe bado anasoma.
Kaweka hiyo hela fixed deposit pale Bank ya Tanzania commercial bank kila mwezi utakuwa unapata kama 250K itakutosha kutimia shule.
Maana ukisema ufanye biashara bado una shule,supervision itakuwa changamoto kwako.
Hapo bado service70k kwa siku, kwa siku Saba inakuwa 490k, kwa mwezi itakuwa 1960000, Ila kwel hapo ndogo ukilinganisha na mtaji, labda kitu kingine aise
Wazo zuri Sana umempatia,na asisahau na bei ya madawa,Ila kama angeanza na ng'ombe 40 kwanza...Nunua ng'ombe 80 wakati wa kiangazi kama kambako na Maksai chagua zile zenye miili mikubwa let say 400,000 × 80 = 32,000,000.
Kanunulie huko minada ya Kondoa, Singida na Dodoma than tafuta eneo Morogoro hata heka 10 let say kila 200,000 × 10 = 2,000,000 weka budget za Pumba via mashudu plus malipo kwa wachungaji, Dokta na usafirishaji weka 4,000,000 Jumla hapo 32,000,000 + 2,000,000 + 4,000,000 = 38,000,000 Baada ya miezi 3 zikinenepa unauza 750,000 × 80 = 60,000,000 kupanga nikuchagua [emoji3][emoji24]
Mimi namshauri pesa yote aweke UTT mfuko wa bond fund.Hongera kuwa na wazo la kuinvest ukiwa shuleni.
Biashara ya usafirishaji ni risk sana kupoteza mtaji. Nina uzoefu kwenye hili
Kama utaweza nenda uweke hizo hela benki kwenye fixed deposit account wakati ukiendelea na masomo, na kiasi kidogo maybe 5M nenda uwekeze UTT ili uewe unazungusha kupata hela ya kujikimu.
Jitahidi kukwepa vishawishi vya makundi hapo chuoni ili uje uhitimu ukiwa salama kiafya (afya ya akili na mwili), kwani una nafasi kubwa ya kuja kufanikiwa as tayari una mtaji wa kuanzisha safari yako ya mafanikio.
Kila la kheri.
5 Milion , kwenye UTT atapata ngapi kwa Mwezi ?
UTT inamaana gani, kwa sababu hizi terminology za kibiashara sizijui mda mwingi nimekaa shule za bweni nikisoma sayansiHongera kuwa na wazo la kuinvest ukiwa shuleni.